changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Sawa. Naomba Weka hiyo screenshot inayoonesha wakati pasi inapigwa kuelekea kwa Bocco mlinzi na Bocco walikuwa Sambamba.Mimi niliona wakati inapigwa Boko na mlinzi aliyekuwa kushoto naye alisogea akawa sambamba na Boko.Anyway hata iweje,Simba ilipata pointi mbili,hayo madhaifu ya Refa ni ubinadamu tu..!
Ili nikufurahishe zaidi hilo lilikuwa bao la Mungu!
Sent using Jamii Forums mobile app