Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Polisi Tanzania, Rekodi Ya Alama 50 Kuwekwa Leo

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Polisi Tanzania, Rekodi Ya Alama 50 Kuwekwa Leo

Mimi niliona wakati inapigwa Boko na mlinzi aliyekuwa kushoto naye alisogea akawa sambamba na Boko.Anyway hata iweje,Simba ilipata pointi mbili,hayo madhaifu ya Refa ni ubinadamu tu..!
Ili nikufurahishe zaidi hilo lilikuwa bao la Mungu!
Sawa. Naomba Weka hiyo screenshot inayoonesha wakati pasi inapigwa kuelekea kwa Bocco mlinzi na Bocco walikuwa Sambamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitashabgaa sana kama kuna Mwana Simba SC Mwenzangu ataupinga huu Ukweli. Sijazoea Unafiki, japo siipendi Yanga FC ila Mimi pia ni Mwanamichezo na Msema Ukweli daima hata kama uhauma au utanigharimu. Nami naendelea Kusisitiza na Kukazia hapo hapo kuwa lile Goli la jana la Nahodha Wetu John Boko japo ' Kiusimba ' wangu nalifurahia kwakuwa ukilijumlisha na lile la Ajib limetupa Ushindi katika Mechi ile ngumu na ambayo Simba SC imecheza vibaya kabisa lakini Kiutaalam na Kiufundi ni Goli la Kuotea ( Offside ) waziwazi. Ni kheri nichukiwe na Wengi lakini niseme Ukweli ambao kwa Mwenyezi Mungu utaniongezea ' Thawabu ' zangu.
Kama si tu matatizo ya waamuzi yanayoendelea kwenye mechi kadha kila siku, na kama si tu mapenzi ya mshika kibendera kwa Simba, basi mimi nahisi labda mshika kibendera alihisi wakati mpira unapigwa na Chama kuna beki alitia mguu pale hivyo kwenye macho yake alihisi ule mpira ulimgusa yule alienyoosha ule mguu kuintasepti hivyo kuvunja offside. Allah yaalam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kibendera alikuwa na wakati mgumu sana kwenye maamuzi, ukiangalia chama aliahirisha kupiga ile pasi kama mara tatu na ukiangalia mara mbili zote boko hakuwa offside ila mara ya tatu alipo piga ndio bocco alikuwa offside. Sasa kibendera alishindwa kujua chama kapiga mpira wakati gani. Ndiyo maana alikuwa confident kusema ni goli halali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni VIBENDERA tu
Rejea matukio haya 6
1. Goli la kagere vs namungo
2. Goli la bocco jana
3. Offside kabla ya Penalty ya Yanga kombe la shirikisho
4. Offside ya juzi kwa chanongo kwenye mechi ya Yanga vs mtibwa
5. Goli lililokataliwa la simba vs coastal
6. Offside ya mwadui dhidi ya simba kwenye kombe la shirikisho.
Kama si tu matatizo ya waamuzi yanayoendelea kwenye mechi kadha kila siku, na kama si tu mapenzi ya mshika kibendera kwa Simba, basi mimi nahisi labda mshika kibendera alihisi wakati mpira unapigwa na Chama kuna beki alitia mguu pale hivyo kwenye macho yake alihisi ule mpira ulimgusa yule alienyoosha ule mguu kuintasepti hivyo kuvunja offside. Allah yaalam.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeshaanza kukata tamaa mapema hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kukata tamaa Mkuu wangu bali mwenendo wa namna waamuzi wanavyofanya maamuzi kwenye mechi zenu (tena si moja) basi najikuta tu naona ni bora wawape kombe lenu mukae nalo huku mukiwa munatafuta 100 points.
 
Aiseee
Hali imekua Nkhumu

Simba nguvu moja
Peweni tu Mtani.
20200205_124045.jpg
 
Back
Top Bottom