Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Polisi Tanzania, Rekodi Ya Alama 50 Kuwekwa Leo

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Polisi Tanzania, Rekodi Ya Alama 50 Kuwekwa Leo

Yes, siku zote napenda mashabiki wanaoamini kuwa mpira ni dakika 90' Kongole kwako mkuu

SimbaNguvuMoja...!
Hahahahahahahahah uone hata zAibu basi Mpira dk 90 uwe Fair sio dk 90 kila mechi unamtegemea refa.
 
Hahahahahahahahah uone hata zAibu basi Mpira dk 90 uwe Fair sio dk 90 kila mechi unamtegemea refa.
20200205_060525.jpg

😂😂😂​
 
Inabidi muandaage IST kwa ajili ya washika vibendera. Kwani kama ni kazi wanawafanyia kwa usahihi kabisa.
Ngoja nikwambie siri moja ambayo naamini ulikua hujui Shadeeya mamii. Siku zote bingwa kwenye jambo lolote hata vitani anakua na mambo mawili au matatu muhimu

1. Uwezo wa kupambana kwenye jambo husika
2. Utayari wa kupambana(determination)
3. Bahati

Kwahiyo Simba ya sasa inavyo vyote hivyo. Jichunguzeni hata nyinyi mlipokua mnachkua ubingwa, angalia Liverpool pale Uingereza. Mtawalaumu waamuzi wa watu buuure kua eti wamehongwa wakati kumbe Bingwa yupo on fire na hizo sifa nilizokutajia
 
Back
Top Bottom