Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba hii imefanyaje tena mkuu? Maana kuna watu wameanzisha hadi thread ya kuiponda simba hii ya kwamba wachezaji hawana spidi wala skills. ni wazi matokeo wanayoyapata Simba hii bado mashabiki hawayaridhishwi kwasababu sio kwa uwezo wao.Daah hii Simba hii, poleni Sana vyura fc najua inawauma sana
Alafu goli kama hilo la dakika ya mwisho mmeshakata tamaa shangwe lake huwa si la kitoto.
Hapo tuko pamoja kabisaAlafu goli kama hilo la dakika ya mwisho mmeshakata tamaa shangwe lake huwa si la kitoto.
Kama sisi tunabebwa, nyie tembeeni mfike.
Mikia leo wamewaogopa kuwahonga Marefa sababu timu inayocheza ni Polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwavile hakuna jinsi wanabidi wapate tabu ya kutembea huku wenzao wakipata raha ya kubebwa.Kama sisi tunabebwa, nyie tembeeni mfike.
Simba ni timu mbovu sana huo ndio ukweli,timu inashinda kwa mbeleko mbeleko tu.
Simba inatia kinyaaaaaaa kuitazama
Timu imezidiwa kocha hajui na wala haelewi anachokifanya Simba inacheza mpira utadhani ni Mlalapua Rangers
FT; Simba 2-1 PolisiMuda mrefu huwa nasema Simba timu ni mbovu zaidi ya sana kuna muda inapata matokeo lakini sio kwa tactical ya kocha bali ni uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja
Mkuu mueleweshe taratibu huwezi kujua labda ana matatizo gani. Matokeo yapo hivi Offside fc wamepata ushindi wa goli 2 kwa moja dhidi ya Polisi Tanzani. Offside fc inaongoza ligi na pia inaongoza kwa ngekewa kwa waamuzi.Acha uongo wewe..! Kwanza kuchangia mada yenyewe umecomment mara moja kisha ukaingia mitini..!
Tulikuwa hewani kwa muda wote hadi mwisho
VPL, FT; Simba SC 2-1 Polisi
Kwa nini uteseke?Mkuu mueleweshe taratibu huwezi kujua labda ana matatizo gani. Matokeo yapo hivi Offside fc wamepata ushindi wa goli 2 kwa moja dhidi ya Polisi Tanzani. Offside fc inaongoza ligi na pia inaongoza kwa ngekewa kwa waamuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tumebebwa, goli la Kwanza ni offside ya waaaaazi[emoji38][emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2]Polisi kwenye doria wamepiga paranja la hatari ila mwisho wa siku selo wameingia wenyewe [emoji14][emoji14][emoji14]
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Huo ushabiki maandazi, Ushabiki uchwara wa kusifia kwenye ujinga mimi sina,Endelea kushabikia ushindi wa kubebwa na magoli ya Offside ukidhani una timu bora kumbe ni kikundi cha matapeli tu.FT; Simba 2-1 Polisi
Nadhani habari umesikia, au tukuongezee sauti? Simba ni kiboko ya wadudu warukao na kutambaa
Endelea kuteseka....