Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Polisi Tanzania, Rekodi Ya Alama 50 Kuwekwa Leo

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Polisi Tanzania, Rekodi Ya Alama 50 Kuwekwa Leo

Polisi wamepaniki sasa wanacheza rafu, Kadi ya njano kwa Nahodha Idd Mobby wa Polisi pia golikipa naye alilambwa kadi vilevile

Simba 1-1 Polisi
 
65' Goooo Laaaaaaaaa, golikipa wa PT anaruka na kupangua na kuwa kona, inapigwaaaaaa lakini inaokolewa

Simba SC 1-1 Polisi
 
Anakwenda Bokoooooo lakini golikipa anatoa na kuwa kona..Inapigwaaaaaa kona inaokolewa
 
74' Kagere anataka kuchukua ya mtu

Naaam Ametoka Dilunga ameingia Maddie Kagere

Moja kwa moja... Simba 1 Polisi 1
 
Polisi wanacheza mchezo wa kuzuia huku wakitegemea Kaunta, kwake Chama, Bocoo Anapigaaaaa njeeee
 
81' John Bocco anakosa bao la wazi, ilikuwa hatari lango la PT
 
Back
Top Bottom