Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 683
Mkuu mbona kama tumeshikwa kiaina na hawa jamaa, tukipoteza mpira kwenye half yao wanakimbia sana kuelekea kwetu mpaka naona kuna hatari kubwa, wana kasi mno katikati45+2' Kona Inapigwaaaaaa na Kahata, lakini wanashindwa kutumia nafasi ile na golikipa kuudaka
Wanakwenda sasa PT, ni faulo chini chini kuelekea Simba lakini wanapoteza
Naaaaaaam mpira ni Mapumziko
Simba SC 0-1 Polisi
Kumbe mara nyingi GENTAMYCINE unakuwa sahihi kuwatukana baadhi ya wapuuzi wasiokuelewa. Nimeshangaa kwenye comment yako hii umezungumza jambo la msingi sana, na mimi kama Mwanasimba mwenzio nimekuelewa ila kuna mazwazwa kadhaa wameishia kukukejeli. Sasa imedhihirika kuwa ULIKUWA SAHIHI na WALIOKUKOSOA NDO HAWANA WALIJUALO.Wana Simba tujiandae Kisaikolojia huenda Mchezo huu wa leo ukawa mgumu Kwetu na tukakoswakoswa Kufungwa na tukatoka Sare. Siku ya leo kidogo Kinujumu / Kinyota Kwetu imekaa vibaya. Tukishinda basi itakuwa ni Furaha Kwetu lakini nasisitiza tuwe makini na hii Mechi ya leo.
Hukuna kukimbiana humu....! Mlivyojazana humu muendelee hivyo hivyo.... ushindi lazima
Uhuni wa kizamani
Bocoooooo Goooooooooooooooooooaaal
Simba wanasawazisha kupitia kwa John Boco, baada ya movie kali lango la polisi
Simba SC 1-1 Polisi