Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakicheza na big team wanajituma kwa sababu hapo ndo wajitangaza sasa waonekaneHizi timu huwa zinakuwa wapi, kucheza mpira mkubwa namna hii Hadi wasubiri kwenye mechi za Simba na Yanga!?
Itabidi team coach alifanyie kazi ili ushindi upatikaneHawa jamaa wamepaki basi la hatari.
Mkuu ushindi upo mana KMC hawata weza kucheza hivi muda wote watachoka tu, alaf unaijuaga kasi ya Simba kipindi cha pili inavyokuwa.
Hapana mkuu hawa jamaa wote wamejaa golini njia hakuna mkuu, Kuna watu sita pale nyuma hawatoki kabisa, unamuona Mohamed Hussein anacheza pale katikati utadhani kiungo wakati ni beki wa kushoto.Simba imepata nafasi nyingi imeshindwa kutumia
ngoja tusubiri next half tuone.Mkuu ushindi upo mana KMC hawata weza kucheza hivi muda wote watachoka tu, alaf unaijuaga kasi ya Simba kipindi cha pili inavyokuwa.
utatukuta full timeWakuu kupindi hiki cha pili sitokuwepo hapa jukwaani kwa muda ,namalizia ratiba yangu ya wiki mazoezi ya viungo,
Sent using Jamii Forums mobile app
SIMBA NGUVU MOJA MWANZO MWISHO