90+1' kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL
Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Uhuru ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao nne bila majibu dhidi ya Lipuli, yakiwekwa kimiani na Kahata 11' Kagere, 49' Dilunga 57'p na 65' akifunga mawili.
FT: Simba SC 4-0 Lipuli FC
.....Ghazwat ........reporter
Jamani acheni kumshetanisha shadeeya, maana bado anagulia maumivu ya jana na leo[emoji3]
Sina maneno mkuu. Ila asizoee kutupa presha.Vipi bado una maneno?
Nilikuwa nawaambia wanaSimba humu kuwa Aussems alikuwa anauwa vipaji wakawa wabishi, na mmojawapo ni Gents. Matola na Sven ni moto, kila mchezaji anapata nafasi ya kucheza, sio walewake kila siku.Naona Sven anaanza kumuamini na kumpa nafasi zaidi Beno David Kakokanya, kwangu mimi huyu yuko fomu zaidi ya Manula kwa sasa.
Shadeeya atatoa tamko asubuhi kama kawaida yake
Nimefulahishwa sana na Kakolanya naye kuanza kucheza Aussein ni Manula Manula Manula, Taifa Manula, Simba Manula kila siku hadi kichefuchefu.Nilikuwa nawaambia wanaSimba humu kuwa Aussems alikuwa anauwa vipaji wakawa wabishi, na mmojawapo ni Gents. Matola na Sven ni moto, kila mchezaji anapata nafasi ya kucheza, sio walewake kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niache Pacha. πππ
Hahahaaa. Lol
Ubize mtani ila soon nitarejea kama zamaniΓ Β½ΓΒΈΓ Β½ΓΒΈ
Mtani naona unaibuka kwenye matukio muhimu tu.
Ooh!! Karibu tena Mtani.Ubize mtani ila soon nitarejea kama zamani