Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Lipuli FC Uwanja wa Uhuru, Ushindi Pamoja na Burudani

Wakitenda haki matokeo tunapata Mtani. Sababu kama juzi mbali na maonevu ya refa Uwanja nao ulikuwa changamoto pia.
Mtani ina maana ninyi tu ndio huwa hamtendewi haki? Kuhusu viwanja wahusika wajitathmini kabla ya kukubali matumizi ya viwanja hivyo
 
Sio sisi pekeyetu ila kama mechi ya juzi yule Mama katuuza sana. Ila ndio ishapita imebaki stori.

Hakika Mtani kama usemavyo wahusika wa Viwanja wajitathimini.
 
Wakitenda haki matokeo tunapata Mtani. Sababu kama juzi mbali na maonevu ya refa Uwanja nao ulikuwa changamoto pia.
Mnasubiri nini kujenga uwanja wenu, kwani ukubwa wa timu yenu ni upi? Mnashindwa na Namungo FC [emoji23]
 
Back
Top Bottom