Bora ungetulia tu ka hujaangalia mpira, Jafari hakucheza mpira pale.kama ile ni penati basi mpira wa bongo una sheria 31. nilimsikia hata mtangazaji anasema ni penati.
yaan mtu acheze mpira na kuokoa tokea nyuma bado iwe penati. kama asinge ugusa ilikuwa penati ila kaugusa na kuutoa inakuwaje penati
goli la 2 la azamu lilikuwa goli halali beki za yanga zilisimama makusudi.
NB: B33 ni hatari,walisemeaje hilo.
Duuu! Sheria inakataza kusimama makusudi?kama ile ni penati basi mpira wa bongo una sheria 31. nilimsikia hata mtangazaji anasema ni penati.
yaan mtu acheze mpira na kuokoa tokea nyuma bado iwe penati. kama asinge ugusa ilikuwa penati ila kaugusa na kuutoa inakuwaje penati
goli la 2 la azamu lilikuwa goli halali beki za yanga zilisimama makusudi.
NB: B33 ni hatari,walisemeaje hilo.
kuna mawili, hukujipa muda kuangalia ama ulimwamini mtangazaji rasta kaucheza ule mpira kama asinge ucheza bas usinge pata kasi zaidi kwenda mbeleBora ungetulia tu ka hujaangalia mpira, Jafari hakucheza mpira pale.
Ila mpira umeisha bila bila
Kama unaongea kama mpenzi wa mpira jipe muda angalia vzr, ila ka unaongea kwa ajili ya kutetea madudu ya refarii basi tuishie hapa.kuna mawili, hukujipa muda kuangalia ama ulimwamini mtangazaji rasta kaucheza ule mpira kama asinge ucheza bas usinge pata kasi zaidi kwenda mbele
Ni aibu eti ilikua offside..Dah imekataliwa
Yanga wamebebwa leo.Hawa waamuzi inabidi waangaliwe,makosa hayawezi kuwa mengi namna hii
Wew ndiyo haujajipa mda wa kuiangalia vizurikuna mawili, hukujipa muda kuangalia ama ulimwamini mtangazaji rasta kaucheza ule mpira kama asinge ucheza bas usinge pata kasi zaidi kwenda mbele
ulimsikiliza mtangazaji ambaye lazima ana mahaba na azam (ndugu moja)
Tuwekee video hapa maana Mimi nishaiangalia kwa ukaribu kabisa. Beki amecheza miguu ya Wadada na siyo mpira.ulimsikiliza mtangazaji ambaye lazima ana mahaba na azam (ndugu moja)
ulimsikiliza mtangazaji ambaye lazima ana mahaba na azam (ndugu moja)
Hapa kuna offside kweli,?Mshika kibendera alikua sahihi kuonyesha offside kwakua kabla ya mfungaji kufunga kulikua na mchezaji mwingine tayari alisha jitayarisha ku ucheza ule mpira kabla ya mfungaji kuwahi na kufunga, Aliye sababisha offside ni yule aliyekua kwenye eneo la offside kabla ya goli kwakua nayeye alikua na dhumuni la kufunga na mwamuzi wa pembeni alisha muona na kunyoosha kibendela.
Sent using Jamii Forums mobile app