Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

kama ile ni penati basi mpira wa bongo una sheria 31. nilimsikia hata mtangazaji anasema ni penati.

yaan mtu acheze mpira na kuokoa tokea nyuma bado iwe penati. kama asinge ugusa ilikuwa penati ila kaugusa na kuutoa inakuwaje penati

goli la 2 la azamu lilikuwa goli halali beki za yanga zilisimama makusudi.

NB: B33 ni hatari,walisemeaje hilo.
Bora ungetulia tu ka hujaangalia mpira, Jafari hakucheza mpira pale.
Ila mpira umeisha bila bila
 
Duuu! Sheria inakataza kusimama makusudi?
 
Bora ungetulia tu ka hujaangalia mpira, Jafari hakucheza mpira pale.
Ila mpira umeisha bila bila
kuna mawili, hukujipa muda kuangalia ama ulimwamini mtangazaji rasta kaucheza ule mpira kama asinge ucheza bas usinge pata kasi zaidi kwenda mbele
 
Refa wa leo ni kichefuchefu, kama hatopewa adhabu tff wana lao jambo. Kaushindwa kabisa mpira, haiwezekani goli mbili zote wamepeta, tena marefa wote watatu na penati ya wazi kabisa kwa azam, yes na ya molinga ni penati ilikuwa...ila azam kaonewa!
 
kuna mawili, hukujipa muda kuangalia ama ulimwamini mtangazaji rasta kaucheza ule mpira kama asinge ucheza bas usinge pata kasi zaidi kwenda mbele
Kama unaongea kama mpenzi wa mpira jipe muda angalia vzr, ila ka unaongea kwa ajili ya kutetea madudu ya refarii basi tuishie hapa.
Maana nimeangalia Mara tatu zote ile ilikua penati halali
 
Mashabiki wa Simba roho zinawauma hatari, hivi leo fathers day mnatarajia wanaume wa Yanga wafungwe na wachezaji wanaitwa Wadada?? Wakati mwingine muwe waelewa.
 
ulimsikiliza mtangazaji ambaye lazima ana mahaba na azam (ndugu moja)
Screenshot_20200621-193524.jpg

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Mshika kibendera alikua sahihi kuonyesha offside kwakua kabla ya mfungaji kufunga kulikua na mchezaji mwingine tayari alisha jitayarisha ku ucheza ule mpira kabla ya mfungaji kuwahi na kufunga, Aliye sababisha offside ni yule aliyekua kwenye eneo la offside kabla ya goli kwakua nayeye alikua na dhumuni la kufunga na mwamuzi wa pembeni alisha muona na kunyoosha kibendela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kuna offside kweli,?
IMG-20200621-WA0021.jpg
IMG-20200621-WA0022.jpg
 
Iyo ya juu haikua offside ila ya chini iyo picha mnato haiwezi kuku eleza ukweli kwakua uyo mpiga kross ali delay kupiga cross ndio maana yule mzimbabwe alinaswa na mtego wa kuotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom