Bora ungetulia tu ka hujaangalia mpira, Jafari hakucheza mpira pale.kama ile ni penati basi mpira wa bongo una sheria 31. nilimsikia hata mtangazaji anasema ni penati.
yaan mtu acheze mpira na kuokoa tokea nyuma bado iwe penati. kama asinge ugusa ilikuwa penati ila kaugusa na kuutoa inakuwaje penati
goli la 2 la azamu lilikuwa goli halali beki za yanga zilisimama makusudi.
NB: B33 ni hatari,walisemeaje hilo.
Ila mpira umeisha bila bila