Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

Sisi mashabiki wa yanga tunamwomba kocha amwambie morison awe anasimama juu ya mpira.Mpira haunogi kabisa
 
78' Wadada eneo la hatariiiii, anapangua mabeki, anapiga shutiiiii golikipa Metacha anatokea na kuokoa hatari ileee

Ametoka Nchimbi ameingia Makame upande wa Yanga SC

VPL, Yanga SC 0-0 Azam FC
 
Abdallah Masoud ameingia na ametoka Idd Suleiman, upande wa Azam FC
 
90+4' Kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL huku kila timu ikiwa haijapata bao

Kaseke yupo chini baada ya kupata rabsha, ameinuka mpira unaendelea
 
Golikipa Haule yupo chini baada ya kupata rabsha wakati akiokoa mpira ilikuwa umepigwa na Morrison, ameinuka mpira unaendelea
 
Ya ngapi ngapi

done
Screenshot_20200621-175509.png
 
Back
Top Bottom