Taratibu basi mbona kama unamatumizi mabaya ya omoWaamuzi wa Pembeni wameifunga Simba siyo JKT kamwe hata kocha tusimlaumu hata goli la wazi limekataliwa, Offside za haramu kwa Papaa Jon TFF tutaona, SIMBA TUNASUBIRI HUKUMU YA MWAMUZI HUYU WA LEO.
Et ushindi!Ni siku nyingine tena kwa Wanasimba kuendelea kufurahia burudani pamoja na ushindi.NguvuMoja
Mbona unateseka hivi?
Mbeleko fc jiandane kuondoka hapo namba moya mechi nne mbeleWaamuzi wa Pembeni wameifunga Simba siyo JKT kamwe hata kocha tusimlaumu hata goli la wazi limekataliwa, Offside za haramu kwa Papaa Jon TFF tutaona, SIMBA TUNASUBIRI HUKUMU YA MWAMUZI HUYU WA LEO.
Sasa kiwango mlichoonyesha Morrison anajipigia tu
Tokeo vp?Ni siku nyingine tena kwa Wanasimba kuendelea kufurahia burudani pamoja na ushindi.NguvuMoja
Ndio na nyie mpate machungu ya dhuruma. Namungo mmemdhurumu point yake moja, na polisi Tanzania mkamdhurumu point zake tatu. Kabla ya mechi ya leo Simba walipaswa kupoteza point tano. ila waamuzi ndio waliowabebaWaamuzi wametuangusha mechi hii.
Duh leo Kagere wakutimuliwa Msimbazi,kweli Mashabiki wa Simba hamna uvumilivu kama YangaSimba inatakiwa iachane na wachezaji kadhaa wanze na Kagere. Manura. Na wengineo
Sent using Jamii Forums mobile app
Viungo ndio mboga. By MinaraKuwe na first 11 inayoeleweka siyo kujaza tu wachezaji kibao kila siku wanaingia wapya hamna hata chemistry,tumepiga sana kelele kwamba defence hatuna ila wao wananunua tu viungo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema ukweli,ushindi wenu ulikuwa kwa hisani ya MarefaKwa mtu yoyote anayejua mpira vizuri haya matokeo hayashangazi,Kwa trend ya timu kwa meechi 6 zilizopita ilikuwa ni wazi inaonekana kufungwa lilikuwa ni swala la muda tu