Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

uzuri wa Simba hata wakifungwa na magoli yao kukataliwa na marefa hawakimbilii kulaumu marefa au kulaumu timu nyingine ila walalamishi fc wao wakifungwa kama sio refa basi simba wamehusika au simba ikishinda wanalalamika kuliko hata timu iliyofungwa lakini sisi tunaangalia madhaifu yetu wapi tumekosea
Usikute anaesema hivi ni miongoni mwa waliong'oa viti siku ile Tambwe anatupia.
 
uzuri wa Simba hata wakifungwa na magoli yao kukataliwa na marefa hawakimbilii kulaumu marefa au kulaumu timu nyingine ila walalamishi fc wao wakifungwa kama sio refa basi simba wamehusika au simba ikishinda wanalalamika kuliko hata timu iliyofungwa lakini sisi tunaangalia madhaifu yetu wapi tumekosea
Labda umesahau kuwa manara alilkuwa bingwa wa kulalamika mpaka alibeba TV na kwenda nayo kwenye press. Waamuzi wawabane kama mechi tatu hivi tuone kama Manara hajaenda FIFA kabla hata ya ligi kuisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaomba sana tufanane nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa I see wanafutiza makosa ya uongo yawe sawa na wao. Eti lile lilikuwa goli? Mikia bwana,wanaona aibu sana kitendo kinachofanywa kila mechi kusajiri marefa. Si umeona leo baada ya kufungiwa baadhi ya waamuzi leo mikia wamegongwa. Pamoja na kikosi cha bilions bado wananunua mechi

Ni kweli, tuna kikosi kipana, mechi zilizopita tulikua na wachezaji 14 uwanjani wakati wapinzani wetu wao walikua 11.

Hii ndio tafsiri ya kikosi kipana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona watu wengi wanalalamika sana kuhusu aina ya mpira ambao Simba inacheza kwa kipindi hiki. Ni kweli hata mimi siridhishwi na aina ya uchezaji huu hasa kipindi cha kwanza. Angalau kidogo kipindi cha pili timu inacheza na kushambulia...

Hii yote inasababishwa na aina ya kikosi ambacho huwa kinaanza kwenye mechi husika. Simba katika mechi za hivi karibuni kila mechi kikosi kinakuwa na wachezaje tofauti tofauti, leo kaanza huyu kesho yule kesho kutwa yule kule, kwa sababu hii maelewano au chemistry kwenye timu inakosekana, na ndio maana kadri siku zinavyozidi kwenda timu kupata matokeo inatumia nguvu nyingi sana... tatizo ni chemistry kwenye timu, hili ndio tatizo.
Ndio maana ya kikosi kipana.
 
Mikia wafungwe mechi tano mfululizo ndipo wawe na heshima kwa timu nyingine.,majivuno na majigambo walizidi mno...hapa namanisha baadhi ya viongozi wao wasio na heshima hata kidogo...kwa mashabiki kujigamba ni sawa tu. Lakini kwa kiongozi hapana you have to respect other teams...eti back to back sisi ni mabingwa miaka mitano mfululizo...how? Una uhakika. gani kwa hill..yaani you have no respect at all..eti Morrison ni takataka...yaani kiongozi unadiriki kumdhalilisha mchezaji namna hiyo na tff inakaa kimya? Huyu Karia vipi? Eti kiongozi wa Simba anasema yanga ni sawa na mgonjwa unamchagua umchome sindano sehemu gani ya mwili...fikiria Kama kiongozi wa Man City akisema hivyo dhidi ya Man United atafanywa Nini na FA ya England? Mimi kwa hakika naishangaa mno TFF ya Karia....
Wacha tufurahie vichekesho vya bure. Wakati wa Vita vya Ghuba kulikuwa na Comical Ali. Nasi kwenye Ligi Kuu tunashukuru kujaaliwa Comical Haji!
 
Utakua umeanza leo kupenda mpira,manara uwa anabeba mpaka tv kulalamika
uzuri wa Simba hata wakifungwa na magoli yao kukataliwa na marefa hawakimbilii kulaumu marefa au kulaumu timu nyingine ila walalamishi fc wao wakifungwa kama sio refa basi simba wamehusika au simba ikishinda wanalalamika kuliko hata timu iliyofungwa lakini sisi tunaangalia madhaifu yetu wapi tumekosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani half time hiyo yule mwenye mpesa awaishe vyumbani haraka kwa waamuzi,tusifanye makosa Shadeeya kama hujamalizia mchango wa Vibendera toa haraka hali ni mbaya huku
Hahahahaaaa. lol.

Walijua kila siku jumamosi eti. 💃💃💃
 
Naanza page ya kwanza lengo ni kuwapa likes tu na kuangalia Watani zangu Ghazwat na Penison mana hali kama hii ikitokea huwa hawaivi chungu kimoja. 😂😂😂😂😂😂😂
 
Mnyama mkali Simba sc tafuna virungu vya hao maafande.

Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020 - 2029/2030
Wachaaaaa. 🤣🤣🤣

Imekuwaje vimetushinda kutafuna sasa. Daah. Mana cha zaidi wametuchapa kimoja cha mgongo tu Mtani. Tumekwama wapi eti.😎😎😎😎
 
Mtani Ujue umefanya kicheko changu cha jana kimerudi. Teh teh teh

Kam baki tuliyoizowea jana imekataa bana. Nimenuna vibaya hapa. 😂😂😂
@Shadeeya umefurahi sana si ndio?
Wacha mpapaswe na Masau bwire leo ili mtulie.

Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
 
Viongozi wafanye maamuzi mapema Simba haina kocha ina muhuni wa kizungu tu Mashabiki acheni kwenda uwanjani waende wenyewe.
Hebu tuachie kishingo wetu banaa. Mbona tulivyoshinda nne nne hukumtoa kasoro Teh teh. 😎
 
Mkuu mwamuzi naye ni binadamu in Ghazwat voice. [emoji3]
Bi hindu kachachamaa huko
IMG-20200207-WA0019.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom