Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Narudia tena. Miaka ya nyuma vilabu hivi vikubwa Simba na Yanga vilikua na kasumba ya kuchukua wachezaji kutola Afrika Magharibi. Nilikua naona wanakosea sana kwani mchezaji wa kiwango kutoka upande huo wa Afrika hawezi kuja Tz kucheza soka la hali ya juu. Ama atakwenda Ulaya au hata Asia au Afrika ya Kaskazini

Nikawa nashauri kua kuna wachezaji kutoka DRC na Burundi wana viwango vikubwa sana na ni cheap lakini ilichukua muda hadi miaka ya hivi karibuni ndio viongozi wa vilabu vyetu wamegundua hilo

Ujinga mwingine upo kwenye kuamini makocha wa kizungu kuwa wana viwango vizuri. Ni kweli lakini sio makocha wote hasa hawa wanaokuja kufundisha Tanzania.

Kama kuna kosa Simba walilifanya ni kumuondoa Masoud Djumaa. Nadhani ipo siku watakuja kugundua kosa lao na pengine yaweza kua too late
Kwa hii post Sea nimekupa like tena ile yenye Makopa mawili. 😂😂😂

#mkifungwamnakaulitamukamasukari.
 
Mtani Mtani Mtani.

Huwa nina kauli yangu moja halafu hutakagi kuifanyia kazi. Sisi tutabiri Mvua tu Mtani. 🤣🤣
Daaaaah sawa sisi tumekubali matokeo, Mungu ni wetu sote.👐

Simba nguvu moja
 
Wachezaji wa Simba, benchi la ufundi na viongozi wetu wanazingua sana. Wakati mwingine nikimuona msemaji wa Club Bwana Manara akizungumza kwa kujigamba najiuliza hivi kweli haoni kua ushindi wetu siju hizi unakua kama tunabahatisha?
 
Shadeeya usivunjike moyo hii ni hali ya mpito tu, mambo mazuri yanakuja.

Simba nguvu moja
Kabisaaa. 😂😂😂 Mkifungwa aaah mnajitoa ufahamu mpaka raha Mtani.

Kabisa haya ni ya mpito tu japo bila kuzidisha kiasi cha miamala na kubadilisha hizi IST gari za bei kubwa kidogo nionavyo tutahadhirika. 😎😎😎
 
Kama yule Paschal Wawa striker anaruka juu anapiga cutting header jamaa anamtazama kama vile yupo kwenye jumba la cinema hata kuruka ku mchalenge hakuna hahahahahahahahah
Nakazia 🤣🤣🤣🤣
 
Nisipofurahi si mpaka mwenyewe nitajishangaa Mtani. [emoji23]

Leo tunampapasa sisi.
Sawa
85013846_869441166833958_4811581896691548160_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom