Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Wanabodi habari?

Nawapongeza na nawashukuru sana maafande JKT Tanzani kwa kusaidia zoezi zima la kumzalisha simba mtoto wa kike.

Kiukweli nimefurahi sana kusikia kuwa simba kazaa na aliyemzalisha ni maafande wa JKT Tanzania.

Ingawa inaonekana wanasimba hawakutarajia kuwa simba angezaa toto la kike.

Inawabidi wakubali matokeo maana hakuna namna sasa.

Nawatakia jioni njema wanasimba. Mlee huyo mtoto vizuri.

Simba kazaa tena
simba kazaa tena
simba kazaa tena
simba kazaa tena x 2

TUumewachapa (kidudeee)
Hakichomoki (kidudee)

Simba kazaa tena
simba kazaa tena
simba kazaa tena
simba kazaa tena x 2

Sabato njema wanasimba.
 
Back
Top Bottom