Uwe mkweli kulikuwa na goli pale? Mpira hata nusu ya mlingoti haukuvuka. Sheria ya goli kwenye mstari unaifahamu? Rudia kuangalia kwa makini bila ushabiki. Haikuwa goli,wala haikuwa kona
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute anaesema hivi ni miongoni mwa waliong'oa viti siku ile Tambwe anatupia.uzuri wa Simba hata wakifungwa na magoli yao kukataliwa na marefa hawakimbilii kulaumu marefa au kulaumu timu nyingine ila walalamishi fc wao wakifungwa kama sio refa basi simba wamehusika au simba ikishinda wanalalamika kuliko hata timu iliyofungwa lakini sisi tunaangalia madhaifu yetu wapi tumekosea
Labda umesahau kuwa manara alilkuwa bingwa wa kulalamika mpaka alibeba TV na kwenda nayo kwenye press. Waamuzi wawabane kama mechi tatu hivi tuone kama Manara hajaenda FIFA kabla hata ya ligi kuishauzuri wa Simba hata wakifungwa na magoli yao kukataliwa na marefa hawakimbilii kulaumu marefa au kulaumu timu nyingine ila walalamishi fc wao wakifungwa kama sio refa basi simba wamehusika au simba ikishinda wanalalamika kuliko hata timu iliyofungwa lakini sisi tunaangalia madhaifu yetu wapi tumekosea
Kabisa I see wanafutiza makosa ya uongo yawe sawa na wao. Eti lile lilikuwa goli? Mikia bwana,wanaona aibu sana kitendo kinachofanywa kila mechi kusajiri marefa. Si umeona leo baada ya kufungiwa baadhi ya waamuzi leo mikia wamegongwa. Pamoja na kikosi cha bilions bado wananunua mechi
Ni kweli, tuna kikosi kipana, mechi zilizopita tulikua na wachezaji 14 uwanjani wakati wapinzani wetu wao walikua 11.Kabisa I see wanafutiza makosa ya uongo yawe sawa na wao. Eti lile lilikuwa goli? Mikia bwana,wanaona aibu sana kitendo kinachofanywa kila mechi kusajiri marefa. Si umeona leo baada ya kufungiwa baadhi ya waamuzi leo mikia wamegongwa. Pamoja na kikosi cha bilions bado wananunua mechi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana ya kikosi kipana.Nimeona watu wengi wanalalamika sana kuhusu aina ya mpira ambao Simba inacheza kwa kipindi hiki. Ni kweli hata mimi siridhishwi na aina ya uchezaji huu hasa kipindi cha kwanza. Angalau kidogo kipindi cha pili timu inacheza na kushambulia...
Hii yote inasababishwa na aina ya kikosi ambacho huwa kinaanza kwenye mechi husika. Simba katika mechi za hivi karibuni kila mechi kikosi kinakuwa na wachezaje tofauti tofauti, leo kaanza huyu kesho yule kesho kutwa yule kule, kwa sababu hii maelewano au chemistry kwenye timu inakosekana, na ndio maana kadri siku zinavyozidi kwenda timu kupata matokeo inatumia nguvu nyingi sana... tatizo ni chemistry kwenye timu, hili ndio tatizo.
Wacha tufurahie vichekesho vya bure. Wakati wa Vita vya Ghuba kulikuwa na Comical Ali. Nasi kwenye Ligi Kuu tunashukuru kujaaliwa Comical Haji!Mikia wafungwe mechi tano mfululizo ndipo wawe na heshima kwa timu nyingine.,majivuno na majigambo walizidi mno...hapa namanisha baadhi ya viongozi wao wasio na heshima hata kidogo...kwa mashabiki kujigamba ni sawa tu. Lakini kwa kiongozi hapana you have to respect other teams...eti back to back sisi ni mabingwa miaka mitano mfululizo...how? Una uhakika. gani kwa hill..yaani you have no respect at all..eti Morrison ni takataka...yaani kiongozi unadiriki kumdhalilisha mchezaji namna hiyo na tff inakaa kimya? Huyu Karia vipi? Eti kiongozi wa Simba anasema yanga ni sawa na mgonjwa unamchagua umchome sindano sehemu gani ya mwili...fikiria Kama kiongozi wa Man City akisema hivyo dhidi ya Man United atafanywa Nini na FA ya England? Mimi kwa hakika naishangaa mno TFF ya Karia....
uzuri wa Simba hata wakifungwa na magoli yao kukataliwa na marefa hawakimbilii kulaumu marefa au kulaumu timu nyingine ila walalamishi fc wao wakifungwa kama sio refa basi simba wamehusika au simba ikishinda wanalalamika kuliko hata timu iliyofungwa lakini sisi tunaangalia madhaifu yetu wapi tumekosea
Mtani Ujue umefanya kicheko changu cha jana kimerudi. Teh teh tehShadeeya Mabingwa wa nchi tuko mawindoni kusaka points 3 nyingine.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020 - 2029/2030
Ujue nimecheka Mtani. Ati nini? πππLeo inabidi wachezaji wafunge magoli ya mbali ili akina Shadeeya wakose cha kuongea[emoji16]
Na tumepata cha kuongea hasaaa. πππππLeo inabidi wachezaji wafunge magoli ya mbali ili akina Shadeeya wakose cha kuongea[emoji16]
Wachaaaaa. π€£π€£π€£Mnyama mkali Simba sc tafuna virungu vya hao maafande.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020 - 2029/2030
Mtani Mtani Mtani.Leo zitaanzia 3
Simba nguvu moja
@Shadeeya umefurahi sana si ndio?Mtani Ujue umefanya kicheko changu cha jana kimerudi. Teh teh teh
Kam baki tuliyoizowea jana imekataa bana. Nimenuna vibaya hapa. πππ
Mtani wasemaa? πππInasikitisha,Inaumiza sana huu mpira unachezwa na Simba ni Aibu ni Fedheha kubwa huwezi ukaamini hii timu imejaa Professional players kutoka mpaka Brazil.
Hebu tuachie kishingo wetu banaa. Mbona tulivyoshinda nne nne hukumtoa kasoro Teh teh. πViongozi wafanye maamuzi mapema Simba haina kocha ina muhuni wa kizungu tu Mashabiki acheni kwenda uwanjani waende wenyewe.
Bi hindu kachachamaa hukoMkuu mwamuzi naye ni binadamu in Ghazwat voice. [emoji3]