Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
...na ndiko wanakoelekea!!Wakiongeza share zao kwenye VODA Africa zikafika 75% wataweza kubadili jina kuwa Vodafone
For sure i like the marketing strategy ya Vodacom. When rebranding one has to be very careful while choosing a name or logo, since Vodacom had hit the peak, waliona ni vyema to comeup with another brand name similar to Vodacom which is Vodafone. They sound alike.
Hata wewe ukifungua duka ukaliita Vodahon people will flow to your shop asking for airtime.
Mbona wanafuata rangi ya Airtel ,au ndio maji ya shingo hata nembo inafanana na ya AirtelMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Dietiof Mare akizungumza wakati wa uzinduzi wa nembo na rangi ya kampuni hiyo. Walikutana na Rais Kikwete wiki iliyopita
Ina maana NEW TAX BREAK for New Company. VAT exemption
0% of import Duty
Ten percent (10%) - Import Duty forSemi-processed inputs and spare parts other than for motor vehicles.
To name the few
Backstory Then...
A representative of Caspian on the Vodacom Tanzania board is businessman-politician Rostam Aziz, a close supporter of President Jakaya Kikwete. At the time Vodacom was licensed in Tanzania, neither man was quite as powerful as now. Kikwete was Foreign Minister and Aziz had yet to occupy any formal position in Tanzanian politics
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Dietiof Mare akizungumza wakati wa uzinduzi wa nembo na rangi ya kampuni hiyo leo kwenye ukumbi wa Ball Room, hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba (kushoto) akishangilia baada ya uzinduzi huo
Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, Vodacom Group , Pieter Uys, (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare (kushoto) na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Mwamvita Makamba, wakati wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam juzi kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza uwekezaji nchini.
Hiyo ndiyo rangi halisi ya Vodafone, the parent company of VodacomMbona wanafuata rangi ya Airtel ,au ndio maji ya shingo hata nembo inafanana na ya Airtel
Unauliza ili upate majibu na kabla hujajibiwa una conclude..
Acha ushamba
Changes!! kuna watu waoga sana wa mabadiliko ndio maana kuna watu wanaogopa chadema kuingia ikulu eti vita itatokea na nchi haitakuwa stable! nonsense!
Mkuu kwenye ubepari ni vitu vya kawaida inabidi uzoee mazingira sasa, is very very common, kubadili majina na kodi ni vitu viwili tofauti, mpaka unafikia hatua ya kuita wenzako vilaza!!
Issue ya vodacom tulisema humu tangu mwaka jana vodafone wamenunua vodacom ilikuwa inajulikana na ULITAKIWA kuwenda TRA kuuliza malipo ya kodi ya kampuni ya vodafone tangu mwaka jana August na siyo baada ya kubadili logo ndio unashtuka
BTW unahisi kuwa hawatoi kodi au unavithibitisho kuwa haitoi kodi??
Wale wawekezaji wapya si majuzi walikua ikulu kupata baraka za jk?mwamvita makamba si mlimuona akiwa na jk ikulu?juzi si mmemuona mfanyakazi wa RA-BASHE akiwa mbele kabisa ktk uzinduzi wa rebrand vodacom?na magazeti ya habari corp leo yameshadadia sana.Hapo akili mkichwa
Ndio maana Mwamvita alivaa viatu vyekundu?
Ndio maana Mwamvita alivaa viatu vyekundu?
Wataalamu wa fashion wananiambia hiyo ya Mwamvita ni "Color Combo". Ukitaka kucheka au kushangaa zaidi nenda kwenye harusi na send off za siku hizi
Duh, hii picha nawish kama ingekuwa kule kwenye jukwaa la Jamii Photos......