Vodacom rebranding

Vodacom rebranding

Wakiongeza share zao kwenye VODA Africa zikafika 75% wataweza kubadili jina kuwa Vodafone
...na ndiko wanakoelekea!!

TRA ilalia na walalahoi na si MATAJIRI na MAKAMPUNI MAKUBWA!

Halafu watu wakitoka hapo "wanadhani uchaguzi WATAUSHINDA kirahisi!!" kila siku TUNAWACHANGIA.... mauti yetu yapo mokononi mwao...
 
For sure i like the marketing strategy ya Vodacom. When rebranding one has to be very careful while choosing a name or logo, since Vodacom had hit the peak, waliona ni vyema to comeup with another brand name similar to Vodacom which is Vodafone. They sound alike.
Hata wewe ukifungua duka ukaliita Vodahon people will flow to your shop asking for airtime.
 
Vodacom TZ inamilikiwa 65% na Vodacom Africa ambayo inamilikiwa 65% na Vodafone ya UK
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Dietiof Mare akizungumza wakati wa uzinduzi wa nembo na rangi ya kampuni hiyo. Walikutana na Rais Kikwete wiki iliyopita

Ina maana NEW TAX BREAK for New Company. VAT exemption

0% of import Duty

Ten percent (10%) - Import Duty forSemi-processed inputs and spare parts other than for motor vehicles.

To name the few

Backstory Then...

A representative of Caspian on the Vodacom Tanzania board is businessman-politician Rostam Aziz, a close supporter of President Jakaya Kikwete. At the time Vodacom was licensed in Tanzania, neither man was quite as powerful as now. Kikwete was Foreign Minister and Aziz had yet to occupy any formal position in Tanzanian politics

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Dietiof Mare akizungumza wakati wa uzinduzi wa nembo na rangi ya kampuni hiyo leo kwenye ukumbi wa Ball Room, hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba (kushoto) akishangilia baada ya uzinduzi huo

Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, ‘Vodacom Group’ , Pieter Uys, (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare (kushoto) na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Mwamvita Makamba, wakati wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam juzi kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza uwekezaji nchini.

Mbona wanafuata rangi ya Airtel ,au ndio maji ya shingo hata nembo inafanana na ya Airtel
 
Mbona wanafuata rangi ya Airtel ,au ndio maji ya shingo hata nembo inafanana na ya Airtel
Hiyo ndiyo rangi halisi ya Vodafone, the parent company of Vodacom

images
 
Vodacom goes Red! Was selling Vodacom to Vodafone a viable Vodacom business strategy or was for making profit for shareholders? Was it Vodafone strategy to block Vodacom, their potential competitor as it would confuse their customers with name similarity should Vodacom go worldwide like MTN since after buying Vodacom they prohibited them from operating in Northern Hemisphere?

Je Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu wafanyabiashara wa nje kuja kuchukuwa mazoezi ya kuruka vihunzi vya kukwepa kulipa Tax? au ni uzembe wa TRA na Viongozi wasiokuwa na akili kama wakina Kikwete, Pinda na Wengineo?

Hizi Fraud zote zinazofabywa na makampuni ya nje hawaoni au wanafaidika na huu ujinga wa kukwepa kulipa kodi?

Watanzania amke kweny usingizi mzito mlio lala.
:angry:
 
Unauliza ili upate majibu na kabla hujajibiwa una conclude..

Acha ushamba
 
Changes!! kuna watu waoga sana wa mabadiliko ndio maana kuna watu wanaogopa chadema kuingia ikulu eti vita itatokea na nchi haitakuwa stable! nonsense!

Mkuu kwenye ubepari ni vitu vya kawaida inabidi uzoee mazingira sasa, is very very common, kubadili majina na kodi ni vitu viwili tofauti, mpaka unafikia hatua ya kuita wenzako vilaza!!

Issue ya vodacom tulisema humu tangu mwaka jana vodafone wamenunua vodacom ilikuwa inajulikana na ULITAKIWA kuwenda TRA kuuliza malipo ya kodi ya kampuni ya vodafone tangu mwaka jana August na siyo baada ya kubadili logo ndio unashtuka

BTW unahisi kuwa hawatoi kodi au unavithibitisho kuwa haitoi kodi??
 
Unauliza ili upate majibu na kabla hujajibiwa una conclude..

Acha ushamba

Siulizi bali nasema, ushamba siwezi kuuacha mimi ni mtu wa kijijini kwa hiyo ushamba ndio jadi yangu. Nisalimie Fisadi wako
 
Changes!! kuna watu waoga sana wa mabadiliko ndio maana kuna watu wanaogopa chadema kuingia ikulu eti vita itatokea na nchi haitakuwa stable! nonsense!

Mkuu kwenye ubepari ni vitu vya kawaida inabidi uzoee mazingira sasa, is very very common, kubadili majina na kodi ni vitu viwili tofauti, mpaka unafikia hatua ya kuita wenzako vilaza!!

Issue ya vodacom tulisema humu tangu mwaka jana vodafone wamenunua vodacom ilikuwa inajulikana na ULITAKIWA kuwenda TRA kuuliza malipo ya kodi ya kampuni ya vodafone tangu mwaka jana August na siyo baada ya kubadili logo ndio unashtuka

BTW unahisi kuwa hawatoi kodi au unavithibitisho kuwa haitoi kodi??

Isjekuwa mambo ya zain na Airtel, hii nchi kila kitu kinawezekana mpaka tusije kustuka kama mambo ya Airtel. Kila kitu kinawezekana katika nchi hii, mikataba feki, Makampuni ya Kigeni kutolipa kodi
 
Hivi kampuni ikibadili rangi na Business Name inakuwa inakwepa kodi? Ni kweli katika ubepari mtu anaweza ku invest leo na kesho akauza kama anaona kuna faida ama investment hiyo itamletea hasara. Sasa jamaa anaanza kutukana watu vialaza bila kuelewa. Hapa jamvini tukiruhusu matusi badala ya hoja tutakosa maana. Toa hoja ziwasaidie wenzio.
 
Wale wawekezaji wapya si majuzi walikua ikulu kupata baraka za jk?mwamvita makamba si mlimuona akiwa na jk ikulu?juzi si mmemuona mfanyakazi wa RA-BASHE akiwa mbele kabisa ktk uzinduzi wa rebrand vodacom?na magazeti ya habari corp leo yameshadadia sana.Hapo akili mkichwa
 
Ndio maana Mwamvita alivaa viatu vyekundu?

003.jpg
 
Mzalendo umeambiwa kilichotokea ni investor mpya katika hii ya Vodacom? You might be good in building your case and probably ulichokiandika kinaweza kuwavutia watu wengi lakini go do your homework ufahamu vizuri aina ya transaction iliyofanyika hapa kama inafanana na Mauzo ya Celtel kwa Zain na Zain kwa Airtel. Kwa taarifa yako Vodafone ni shareholder wa Vodacom Group siku zote na the name Vodacom imetokana na Vodafone na Telkom South Africa.

Transaction ya Vodafone kuongeza stake yake katika Vodacom Group kutoka 50% kwenda 65% ilifanyika mwaka 2009 na ni mwaka huu 2011 ndiyo wameamua kufanya rebranding.Kama kuna mambo ya kodi au vinginevyo basi yatakuwa effective kuanzia mwaka 2009 na sidhani kama hiyo hoja yako ya kodi ni kweli.Ndiyo maana nimesema ufanye utafiti.
 
tra kazi yao kukusanya kodi kwa wafanyakazi na kwa walevi wa bia na wanywa soda,upuuuzi mtupu makapuni makubwa kama haya ukiona kodi wanazolipa 50% ni kodi wanazokatwa wafanyakazi na si kwenye biashara zao,tra hopeless kbs
 
Wataalamu wa fashion wananiambia hiyo ya Mwamvita ni "Color Combo". Ukitaka kucheka au kushangaa zaidi nenda kwenye harusi na send off za siku hizi

Kwa Wamarekani na labda wa Tanzania hapo Mwamvvita una weza sema kachemsha lakini kwa Watu wa Europe hapo yuko sawa ,kawaida kwa fashion za Eurpe ku changanya rangi.

Ila dah ina maana Ruge bado atapeta tuu, Mwamvita bado yuko Voda . dah, dili zote lazima apelekewe Ruge
 
Back
Top Bottom