Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

Vodacom sasa watapatapa kutafuta wateja

Kiongozi mm natumia Voda tangu 2005, hayo unayo yasema hayana ukwel wowote,hakuna mbadala wa Voda, hao wengine ndio majanga tupu

Utakuwa unalipiwa wewe, voda waizi haswa wanakula hela ya kifurushi utadhani mbwa amelamba damu unaweka hela unaambiwa imeisha hata hujatumia, network inasumbua sijawahi kuona voda ni janga kwa kweli
 
nimejiunga wajanja ya 1gb hakuna nilichofaidika kwan ilikuwa slow wala sikumaliza kudownload chochote, mbaya zaidi wanawahi kukutumia sms za kifurushi kwamba kimeisha
 
Kuna siku kama saa kumi jioni nilimtumia msg generator wakati Tanesco amesafiri, nikasubiri kama lisaa na nusu nikaona hatokei, ikabidi nivute waya nikimwambia kwanini anazima simu wakati tulishapatana tukutane.

Akasema hajapata msg yeyote, so ikabidi aje, alipofika nikamtumia nyengine lol! na yenyewe haikufika, ikabidi nitume ya tatu ya kujifanya nimekosea namba kama mambo yataenda kombo. Tukafanya yetu then generetor akatembea.

Sasa nasikia usiku saa tano jamaa yake kafika home, kaazima simu kwa sababu yake haikuwa na salio, na kwa bahati mbaya na yenyewe ilikuwa imeshaishiwa. Si ikabidi akope! Lol, ile message ya uthibitisho si ikaambatana na msg zangu!

Nasikia kilichoendelea pale ni hatari na mpaka sasa huyo jamaa ambaye pia ni rafiki yangu hawaendi sawa kwa sababu ya VODACOM hawa.
 
Kumiliki simu ya laini mbili haikwepeki, voda yenyewe inamilikiwa nusu Rostam Aziz
 
Voda sahvi hata internet yao mizengwe imekuwa mingi mno bora airtel
 
Na ukipga simu kitengo cha wateja utakoma, maana simu inaiita weee mpaka unashika adabu yako na hakuna wa kupokea!

Kwa wezi hilo halina shaka..... nilinunua mda wa maongezi kutoka Mpesa....najiunga na Cheka, naambiwa sina salio.....lakini kwenye Mpesa inaonyesa hela imetoka....na siyo mara moja swala hili!

Tuhame Voda.
 
just loud and say RIP voda
 
Bila shaka mpenzi wako yuko Tigo, hilo ni tatizo la Tigo.
Kama ungeijua TIGO vizuri usingebanduka maana ukiingia tu hutamani kutoka. Unajiexpresss weeeeeeee hadi basi tu. Voda ni ya kuzalishia sio kuexpress ndio maana. VODA kazi ni kwako lakini simply express yourself na TIGO mwe?? Anaijua sana PM Godon wa UK
 
likingine kero kuu ni kukuwekea huduma ya nyimbo bila ya idhini yako,mke wangu anatumia voda mi nilihamia airtel na tigo toka mwaka jana,sisi ni wakristo nikimpigia mke wangu nyimbo inayoita ni kuruan

niwatete hapo kwenye nyimbo, ukimpigia mtu ambaye amejiunga na wimbo huwa unaambiwa ubonyeze nyota kuupata ili wanaokupigia wasikie sasa yawezeka mkeo alibonyeza nyota akapewa wimbo
 
Kumbe tatizo la sms kuchelewa ni janga la watu wengi, mie nilifikiri sehemu niliyoishi. of course hili tatizo lilikwamisha mambo mengi hasa mawasiliano kwa wanachuo wenzangu. Unatuma sms mkutane discussion saa 10, sms zinafika saa 12! haa haaa of course sha hamia kitambo mtandao wa mabingwa
 
Kama ungeijua TIGO vizuri usingebanduka maana ukiingia tu hutamani kutoka. Unajiexpresss weeeeeeee hadi basi tu. Voda ni ya kuzalishia sio kuexpress ndio maana. VODA kazi ni kwako lakini simply express yourself na TIGO mwe?? Anaijua sana PM Godon wa UK

Mkuu..hili sijakurupuka kuliweka humu..nina ushahidi.
 
Na ukipga simu kitengo cha wateja utakoma, maana simu inaiita weee mpaka unashika adabu yako na hakuna wa kupokea!

Kwa wezi hilo halina shaka..... nilinunua mda wa maongezi kutoka Mpesa....najiunga na Cheka, naambiwa sina salio.....lakini kwenye Mpesa inaonyesa hela imetoka....na siyo mara moja swala hili!

Tuhame Voda.

Mimi nimebakiza no. ili kununua umeme na kuricharge ng'amuzi au mtu akinitumia hela kwa mpesa but not kutuma or otherwise.
Voda ni mijizi, mijambazi mikubwa
 
Mimi nimebakiza no. ili kununua umeme na kuricharge ng'amuzi au mtu akinitumia hela kwa mpesa but not kutuma or otherwise.
Voda ni mijizi, mijambazi mikubwa

heheee.. njoo SMART ingawa kwenye internet wametia boko
 
Hamia airtel hata rusha zao bomba muda wa kutosha mb za kutosha sms hadi chooni
 
Mimi nimebakiza no. ili kununua umeme na kuricharge ng'amuzi au mtu akinitumia hela kwa mpesa but not kutuma or otherwise.
Voda ni mijizi, mijambazi mikubwa

kweli mkuu.. huu mtandao ni wa kiwizi.. mtandao ndio janga kabisa
 
Ukweli nimewahama tayari. Nilikuwa natumia sana bindle la Vodacom, nilipojaribu tu Airtel speed yao nzuri nkahamia kabisa.
 
Back
Top Bottom