Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi mm natumia Voda tangu 2005, hayo unayo yasema hayana ukwel wowote,hakuna mbadala wa Voda, hao wengine ndio majanga tupu
Voda kwa kweli wanatugombanisha sana na wenzi wetu
Na ukipga simu kitengo cha wateja utakoma, maana simu inaiita weee mpaka unashika adabu yako na hakuna wa kupokea!
Kwa wezi hilo halina shaka..... nilinunua mda wa maongezi kutoka Mpesa....najiunga na Cheka, naambiwa sina salio.....lakini kwenye Mpesa inaonyesa hela imetoka....na siyo mara moja swala hili!
Tuhame Voda.
Kama ungeijua TIGO vizuri usingebanduka maana ukiingia tu hutamani kutoka. Unajiexpresss weeeeeeee hadi basi tu. Voda ni ya kuzalishia sio kuexpress ndio maana. VODA kazi ni kwako lakini simply express yourself na TIGO mwe?? Anaijua sana PM Godon wa UKBila shaka mpenzi wako yuko Tigo, hilo ni tatizo la Tigo.
likingine kero kuu ni kukuwekea huduma ya nyimbo bila ya idhini yako,mke wangu anatumia voda mi nilihamia airtel na tigo toka mwaka jana,sisi ni wakristo nikimpigia mke wangu nyimbo inayoita ni kuruan
Kama ungeijua TIGO vizuri usingebanduka maana ukiingia tu hutamani kutoka. Unajiexpresss weeeeeeee hadi basi tu. Voda ni ya kuzalishia sio kuexpress ndio maana. VODA kazi ni kwako lakini simply express yourself na TIGO mwe?? Anaijua sana PM Godon wa UK
Na ukipga simu kitengo cha wateja utakoma, maana simu inaiita weee mpaka unashika adabu yako na hakuna wa kupokea!
Kwa wezi hilo halina shaka..... nilinunua mda wa maongezi kutoka Mpesa....najiunga na Cheka, naambiwa sina salio.....lakini kwenye Mpesa inaonyesa hela imetoka....na siyo mara moja swala hili!
Tuhame Voda.
Mimi nimebakiza no. ili kununua umeme na kuricharge ng'amuzi au mtu akinitumia hela kwa mpesa but not kutuma or otherwise.
Voda ni mijizi, mijambazi mikubwa
heheee.. njoo SMART ingawa kwenye internet wametia boko
Mimi nimebakiza no. ili kununua umeme na kuricharge ng'amuzi au mtu akinitumia hela kwa mpesa but not kutuma or otherwise.
Voda ni mijizi, mijambazi mikubwa