Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ninavyoandika, line yangu ya Voda imekata network tangu mida ya saa12 jioni imebidi nibadili line natumia mtandao mwingine.
Labda ni promoter, MkuuUtakuwa unalipiwa wewe, voda waizi haswa wanakula hela ya kifurushi utadhani mbwa amelamba damu unaweka hela unaambiwa imeisha hata hujatumia, network inasumbua sijawahi kuona voda ni janga kwa kweli
Kiongozi mm natumia Voda tangu 2005, hayo unayo yasema hayana ukwel wowote,hakuna mbadala wa Voda, hao wengine ndio majanga tupu
Ndiyo wapi tena huko SMART
Tangu rostam auze hisa zake Voda imekuwa ga ri la Mkaa
sifanyi voda, ila kumbuka huduma nzur lazima iwe na gharama, ukitaka vya bure nenda kwa hao wababaishaj
Internet, huduma ya Mpesa haisumbui wala hakuna wiz kama hao wengine,