Nsanzugwako
Member
- Jan 18, 2015
- 48
- 11
hawa jamaa wamekuwa matepeli. nahisi lowasa anakusanya hela ili kuongeza za kuhonga.
watu wa marketing wao ni bogus sana.!! hawajui kuwa faida kidogo kidogo kwa watu wengi ndio inaongeza pato kuliko faida kubwa kwa watu wachache
Naona jamaa waliingia usiku kusoma comments maana kwangu kwenye recent visitors naona na vodacom tanzania ipo?
Vodacom ni wezi kweli kweli. ... niliweka muda wa maongezi wa Tsh. 10,000 nikatumi Tsh. 1,800 baada ya siku 2 balance yangu ikawa Tsh. 0. Nilipowauliza nikaambiwa kwamba hela nyingine imetumika kwenye data na internet wakati ninapoishi hakuna access ya internet na simu nime diactivate data and internet. Vodacom, you people should STOP STEALING from your customers!
Wakati mwingine huwa najiuliza hivi siwezi omba wakaniprintia matumizi yangu kwenya karatasi kama zile bili za TTCL, maana zile za TTCL unaweza pata taarifa za calls zote na muda uliotumia japo kwa data sina uhakika

Hiyo ishu ilinipata last week, nakumbuka nilituma muda wa maongezi kwa simu nyingine na kubakiwa na salio la >40,000/- jioni ya saa 10, simu sikuitumia tena ila kesho yake jioni naangalia salio 00, kuwapigia.wahudumu, wakwanza akakomaa may be nimetumia kwa data nikajisahau, nikamhakikishia simu hiyo haipo connected akakomaa nikaona mzushi nikaachana nae, baada ya muda nikapiga na kumpata mhudumu mstaarabu tukafuatilia matumizi yalivyokuwa kwenye system na kugundua kweli toka mda huo wa mwisho kutumia kulibakiwa na salio >40,000/- na baadae inaonesha 00, alinihakikishia baada ya masaa 24 watarekebisha, nashukuru wslirekebisha na kurudisha hela yangu, Kiukweli mitandao hii ya simu inachofanya siyo, je nisingekomaa si ningeshapoteza? Na sasa wamekuja na mbinu hii ya data, je, nini mkongo wa taifa waliotuhubiria? Wapi TCRA?
Maana ya huu uzi ni nini kama wananchi hawajibiwi shida zao?
Wakati mwingine huwa najiuliza hivi siwezi omba wakaniprintia matumizi yangu kwenya karatasi kama zile bili za TTCL, maana zile za TTCL unaweza pata taarifa za calls zote na muda uliotumia japo kwa data sina uhakika
*149*81#, unapata 1GB, kwa week kwa sh1500 tu, airtelMm voda naitumia kutunza hela zangu tu ila kwenye kujiunga akuna kitu kama icho koz wanaboaa nlikua natumia tigo naona nao wameanza na mb zao 8 ngoja nmalize mitian nihamie airtel tu ndio habar ya mujin
Dah Airtel nao washa change bundle zao😈😈😈.....Vifurush vyote vya siku vina MB 10 tu vya wiki MB 70