mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Nyie mnaosisitiza watu wahamie mitandao mingine mnadhan ndo solution? Nan kakwambia kukimbia tatizo ndo kulitatua?!
Hv ulikaa ukafikir kwamba wote wakiihama voda then na iyo mitandao mingine ikianza kuzingua mtahamia wapi tena?!au mtaanzisha mitandao ya kwenu?
Hakuna mtandao uliokamilika kila mtandao una mapungufu sema yamezidiana tu.ACHA WATU WAWASEME VODA ILI WAJIREKEBISHE NA SIO KUHAMA MTANDAO..Ni mtazamo tu