Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndugu mteja,tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi,pole.
Nasikitika na kulia Voda wamekwangua bundle la internet 5GB nililo nunua Tar.27/12/2013 jana Tar.31/12/2013 bundle lote jamaa wamekwangua na matumizi yangu ni ya kawaida sana ni email na kuingia JF yaani inaniuma sana hawa Voda walicho nitenda nawapigia longo longo nyingi.
are you a verified user au basi tu..Habari ndugu mteja,tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi,pole.
Habari ndugu mteja,tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi,pole.
Mnaudhi sana tu nyie, kwanza limtandao lenu net inakata hovyo hovyo na hakuna maelezo ya kujitosheleza.Habari ndugu mteja,tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi,pole.
hapi nyu iya kaka f80
are you a verified user au basi tu..
Ninatumia modem ya voda haija nisumbua hata kidogo.
Ninatumia modem ya voda haija nisumbua hata kidogo.
Pole sana. Mi imekuwa ikinitokea mara nyingi sana. Nanunua muda wa maongezi kutoka M-Pesa.Wadau heri ya mwaka mpya nyote. VODACOM wamenisikitisha asubuhi hii kwani nimeweka shs 2000 ili nijirushe nashangaa najaribu kujiunga najibiwa huna salio!!! kucheki salio nina 800!!!Sijawahi kukopa. Sasa pesa Dyangu wamepeleka wapi???!!!!! Vodacom siwaelewi!!!!Hakika napanga kuhamia mtandao mwingine.
Habari ndugu mteja,tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi,pole.
Habari ndugu mteja,tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi,pole.
speed ya net yao ndogo sana labda airtel..