Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndugu mteja,tafadhali tutumie namba unayotumia kwa msaada zaidi na eneo ulilopo,pole sana.
inakuwaje mnatoa sekunde 50 tu kwenye cheka bambastiki ya 500 kwenda mitandao mingine? mlifikiria nini kufanya uamuzi huu?
Na mje muondoe hili dubwasha lenu la ku charge simu hapa JK Nyerere Int'l Airport Domestic Departure halifanyi kazi.........linakaa kama uchafu..........
Na mje muondoe hili dubwasha lenu la ku charge simu hapa JK Nyerere Int'l Airport Domestic Departure halifanyi kazi.........linakaa kama uchafu..........
Hata mm niliwapigia cm juzi baada ya kuniibia kifurushi.Wasipo badirika watatupoteza!!
Habari ndugu mteja,tafadhali tutumie namba unayotumia kwa msaada zaidi na eneo ulilopo,pole sana.
Habari ndugu mteja,tafadhali tutumie namba unayotumia kwa msaada zaidi na eneo ulilopo,pole sana.
mkuu huu uamuzi walichukua wa kijinga sana bora wafute tu ieleweke hakuna Bombastic kwenda mitandao mingine.
Mimi natumia nokia asha kwa wiki napata internet mara mbii tu diku nyingine zote sipati. Nimeshahsmia Tigovoda mb 700 siku 2.airtel mb 400 wiki mzima hapo tofauti iko wapi? voda ni wezi
Preta ulitaka ucharge airport?
Teh teh teh.....ulishawahi kujaribu kulitumia nini?
HABARI NJEMA! Dakika za Cheka Bombastik za kupiga mitando yote Tanzania zimerudi. Piga *149*01# sasa kuchagua kifurushi upendacho! Vodacom, Kazi ni Kwako!