Panthera 1
Member
- Dec 30, 2014
- 50
- 9
Vodacom Tanzania, I want the answer coz' this's too much! Ni upumbavu huu mtu umenunua bundle ya mwezi mzima halafu bado unalazimika kununua bundle za mitandao mingine kwavile hakuna connectivity kutoka kwenye mtandao wenu! Nimetoa above claims six hours earlier but still no response! Sasa ulikuja JF kufanya nini ikiwa huwezi ku-handle customer complaints?
Vodacom internet mnaibia wateja. Jana tarehe 6 Machi, 2016 nilinunua muda wa maongezi sh 2000 na wakati huo nilikuwa na airtime ya Cheka dk 46 mpaka tarehe 12 Machi. Katika hiyo 2000 nikanunua bundle ya sh 500 kwa 24 hrs mb 200. Nikabakiza mb 125 ambazo sikuzitumia kwa kuwa muda ulikwisha. Nilitegemea kuwa ninazo sh 1500 xilizobaki ili niongeze bundle lkn nikakuta sh 300 tu nami huwa na disable data na wifi kila nikilog out. Fedha zangu sh 1200 mmeniibia na mnaiba sana za Wateja ambao hawafuatilii Salio. Kama mnamkusanyia Low asa tujue! Mm nahamia mitandao mingine.
Unauza Voda Rusha ama???
Salio lote hilo ni sifa ama???
Kuna siku inawezekana mtu alikosea namba akatuma pesa kwako ukazitoa,sasa hapo ni kwamba wanairudishia ili wamlipe aliyekosea
This is serious issue!!! Wapo wapi hawa watu mbona hawatoi majibu??
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania