Panthera 1
Member
- Dec 30, 2014
- 50
- 9
ADMIN sijui yupo wapi ?
Hebu njoo wadelete hawa voda na hii sticky yao ifute maana ni uchafu mtupu 6ma hatuoni faida ya hawa wezi (vodacom).
Na hakyamungu siku mkija mtaani kwetu tutawaaibisha bure au hata kuwatimua kama vibaka wa simu na wezi wa kuku.