mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Ahsante sana mkuu nakutumia.
Aise kumbe mpo huku.Mnaboa kwa kweli,nimeingia gharama za bundle halafu hata page haifunguki.
Ndugu mteja,pole sana. Tafadhali tujulishe upo eneo gani. Pia tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.
Habari waungwana...
Imebini nilete hii taarifa humu kwa kuwa nimejaribu kuwasiliana na customer care bila mafanikio...
Jana jioni nilinunua kifurushi cha internet cha weekly cha unlimited kwa tsh 12,500/= ila hadi muda huu naandika hapa sijatumia hata kb 1 ya huduma niliyoilipia..
Kwa kweli nimekereka sana na naona huu ndio mwisho wangu kutumia vodacom kwenye internet...acha nibaki kwenye mpesa yao ambayo nayo kwa jinsi inavyoenda naona pia nitajitoa ..
Vodacom CS Support
Habari ndugu mteja,tafadhali tutumie namba unayotumia kwa msaada zaidi na eneo ulilopo,pole sana.
Habari kalou,ninaimani tumeelewana kama tulivyozungumza kwa njia ya simu.^RG