Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Umekopa sasa unaleta uswahili dawa ya deni kulipa sio ujanja ujanjaVodacom Tanzania mnanikera sana
Kama kuna mfanyakazi wa voda humu JF apeleke taarifa kwa mabosi wake
Nasema hivi Vodacom acheni kunitumia meseji za kunidai mkopo wenu wa Nipige Tafu
Hivi nyie ni hela ngapi mnadhulumu watanzania? Ila nyie kutolipwa hela yenu ya Nipige Tafu imekua kero kila siku mnanitumia msg za kunikumbusha deni
Kwa taarifa yenu sina muda wa kuweka vocha kwenye line ya voda na sina watu nnaowasiliana nao kwa voda so hiyo hela mnayonidai msahau kuwalipa
Endeleeni tu kunitumia msg za kunikumbusha deni silipi na nimewachoka
Huu Uzi uwafikie huko mliko mnaletea kero sana kwenye simu yangu mi nadhani zinaingia meseji za maana kumbe ni za voda
Mnaboaa
OVA.
Kaka dawa ya deni kulipa na kumbuka deni halikimbiwi....hata usipoweka credit wala kufanya miamala ipo siku line wataifungia hiyo labda kama huna umuhimu nayo.mimi voda wanachonikera nacho na nataka niwahame ni aina ya bundles zao zinavyokuwa kiduchu,fikiria Tsh1,000/= unapata Mb200 Tsh2,000/=Gb1 yaani huu ni wizi wa mchana kweupe Vodacom badilikeni ili kutulinda wateja wenu.Vodacom Tanzania mnanikera sana
Kama kuna mfanyakazi wa voda humu JF apeleke taarifa kwa mabosi wake
Nasema hivi Vodacom acheni kunitumia meseji za kunidai mkopo wenu wa Nipige Tafu
Hivi nyie ni hela ngapi mnadhulumu watanzania? Ila nyie kutolipwa hela yenu ya Nipige Tafu imekua kero kila siku mnanitumia msg za kunikumbusha deni
Kwa taarifa yenu sina muda wa kuweka vocha kwenye line ya voda na sina watu nnaowasiliana nao kwa voda so hiyo hela mnayonidai msahau kuwalipa
Endeleeni tu kunitumia msg za kunikumbusha deni silipi na nimewachoka
Huu Uzi uwafikie huko mliko mnaletea kero sana kwenye simu yangu mi nadhani zinaingia meseji za maana kumbe ni za voda
Mnaboaa
OVA.
Kosa kubwa ilikua kuchagua Vodacom. Kama maalim alivyochelewa kuidhinisha kijiuzulu kwa Prof.Mnachezesha sana vifurushi vya data...kila siku ndani ya masaa kadhaa mnaweza badilisha Menu hata mara tatu..
Huu ni usumbufu mkubwa mnatupa... Kumbukeni kuna hasira kali huku vichochoroni..
Sasa mnavyoitekenyatekenya kila mara hiyo menu yenu mnajiskia raha gani.
Nimeandika kwa lugha kali...na nimejitahidi punguza hasira.
ACHENI UTOTO HUO...MNAKERA.
WEKENI CHOICES ZA KUDUMU.
....Umefika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umenichekesha sanaMnachezesha sana vifurushi vya data...kila siku ndani ya masaa kadhaa mnaweza badilisha Menu hata mara tatu..