Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Vodacom Tanzania mnanikera sana
Kama kuna mfanyakazi wa voda humu JF apeleke taarifa kwa mabosi wake
Nasema hivi Vodacom acheni kunitumia meseji za kunidai mkopo wenu wa Nipige Tafu
Hivi nyie ni hela ngapi mnadhulumu watanzania? Ila nyie kutolipwa hela yenu ya Nipige Tafu imekua kero kila siku mnanitumia msg za kunikumbusha deni
Kwa taarifa yenu sina muda wa kuweka vocha kwenye line ya voda na sina watu nnaowasiliana nao kwa voda so hiyo hela mnayonidai msahau kuwalipa
Endeleeni tu kunitumia msg za kunikumbusha deni silipi na nimewachoka
Huu Uzi uwafikie huko mliko mnaletea kero sana kwenye simu yangu mi nadhani zinaingia meseji za maana kumbe ni za voda
Mnaboaa
OVA.