Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania mnanikera sana
Kama kuna mfanyakazi wa voda humu JF apeleke taarifa kwa mabosi wake
Nasema hivi Vodacom acheni kunitumia meseji za kunidai mkopo wenu wa Nipige Tafu

Hivi nyie ni hela ngapi mnadhulumu watanzania? Ila nyie kutolipwa hela yenu ya Nipige Tafu imekua kero kila siku mnanitumia msg za kunikumbusha deni

Kwa taarifa yenu sina muda wa kuweka vocha kwenye line ya voda na sina watu nnaowasiliana nao kwa voda so hiyo hela mnayonidai msahau kuwalipa

Endeleeni tu kunitumia msg za kunikumbusha deni silipi na nimewachoka

Huu Uzi uwafikie huko mliko mnaletea kero sana kwenye simu yangu mi nadhani zinaingia meseji za maana kumbe ni za voda
Mnaboaa
OVA.
 
Umekopa sasa unaleta uswahili dawa ya deni kulipa sio ujanja ujanja
 
Hakuna watu waliolewa sifa kama Vodacom. Dakika Zao ni magumashi mb ndiyo Msiba kabisa, usijaribu kutuma hela kwenda mtandao mwingine kama tigo utajuta.

Jana nimetuma hela tangu saa 5 asubuhi hadi saa 2 usiku ndiyo mhusika anapata sms. Ukiwauliza wanakwambia kulikua na ttzo kdg wanalishughulikia, unawauliza tena kwa hiyo ss kama wateja tunajuaje bila kufahamishwa au tulale halafu tuote kuwa kesho mtakua na ttzo ?

utasikia samahani mteja tunalishulikia ttzo tutakufahamisha. Bado una ttzo lingine tofauti na hilo nikamjibu ndiyo, tunaweza kukusaidia nikamjibu Ttzo langu ni kuchagua Vodacom. Kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vodacom Tanzania mnanikera sana
Kama kuna mfanyakazi wa voda humu JF apeleke taarifa kwa mabosi wake
Nasema hivi Vodacom acheni kunitumia meseji za kunidai mkopo wenu wa Nipige Tafu
Hivi nyie ni hela ngapi mnadhulumu watanzania? Ila nyie kutolipwa hela yenu ya Nipige Tafu imekua kero kila siku mnanitumia msg za kunikumbusha deni
Kwa taarifa yenu sina muda wa kuweka vocha kwenye line ya voda na sina watu nnaowasiliana nao kwa voda so hiyo hela mnayonidai msahau kuwalipa
Endeleeni tu kunitumia msg za kunikumbusha deni silipi na nimewachoka
Huu Uzi uwafikie huko mliko mnaletea kero sana kwenye simu yangu mi nadhani zinaingia meseji za maana kumbe ni za voda
Mnaboaa
OVA.
Kaka dawa ya deni kulipa na kumbuka deni halikimbiwi....hata usipoweka credit wala kufanya miamala ipo siku line wataifungia hiyo labda kama huna umuhimu nayo.mimi voda wanachonikera nacho na nataka niwahame ni aina ya bundles zao zinavyokuwa kiduchu,fikiria Tsh1,000/= unapata Mb200 Tsh2,000/=Gb1 yaani huu ni wizi wa mchana kweupe Vodacom badilikeni ili kutulinda wateja wenu.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mnachezesha sana vifurushi vya data...kila siku ndani ya masaa kadhaa mnaweza badilisha Menu hata mara tatu..

Huu ni usumbufu mkubwa mnatupa... Kumbukeni kuna hasira kali huku vichochoroni..

Sasa mnavyoitekenyatekenya kila mara hiyo menu yenu mnajiskia raha gani.

Nimeandika kwa lugha kali...na nimejitahidi punguza hasira.

ACHENI UTOTO HUO...MNAKERA.

WEKENI CHOICES ZA KUDUMU.

....Umefika.
 
Kosa kubwa ilikua kuchagua Vodacom. Kama maalim alivyochelewa kuidhinisha kijiuzulu kwa Prof.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaaah kweli wanakera ndugu yani unaingia saa hii menu tofauti na ilivyokuwa saa mbili zilizopita
 
Sawa mkuu nimeskia tatzo lako na mimi kama mjumbe wa bodi ya wakurugenzi nitalifikisha swala lako bodi ikikaa.

Asante

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli aisee sijui wakoje bana.afu kuna kitu kingine nimekiona sana kwangu,unanunua kifurushi cha internet kikubwa tu cha siku 7 au masaa 24 lakini baada ya kununua unapata kasi ndogo ya kuperuzi utadhani umesaidiwa bule,mala tatu sasa nimeshawapigia simu nikiwataka wauongeze muda wangu ule niliokosa huduma lakini hua nakutana na blaablaa tu.VODACOM kama siyo huduma ya m pesa watu wangeshawakimbia kitambo

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mnachezesha sana vifurushi vya data...kila siku ndani ya masaa kadhaa mnaweza badilisha Menu hata mara tatu..

Huu ni usumbufu mkubwa mnatupa... Kumbukeni kuna hasira kali huku vichochoroni..

Sasa mnavyoitekenyatekenya kila mara hiyo menu yenu mnajiskia raha gani.

Nimeandika kwa lugha kali...na nimejitahidi punguza hasira.

ACHENI UTOTO HUO...MNAKERA.

WEKENI CHOICES ZA KUDUMU.

....Umefika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umenichekesha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo tena Vodacom wanashindwa liweka mambo yao vizuri muamala nimeufanya Jana mida ya SAA moja jion kwa ajili ya kununua umeme lakn sasa mpaka mda huu nikipiga naambiwa tatizo la mtandao!!!
 
tena Vodacom wanashindwa liweka mambo yao vizuri muamala nimeufanya Jana mida ya SAA moja jion kwa ajili ya kununua umeme lakn sasa mpaka mda huu nikipiga naambiwa tatizo la mtandao!!!
 
hawa jamaa sijui wapoje?,

mi nlisajili laini mwez wa 6 nikawa naitumia kwa huduma zote mpaka M-pesa,..Nilitumiwa elfu 40 then nikanunua vocha elfu 3 ikabaki 37000.

tareh 20/7 nikawa nikipga menu ya mpesa haipatikan nkaenda vodashop,eti ooh laini yako haijasajiliwa m-pesa inabidi usajili upya?(sasa haijasaliwa vp wkt pesa nmepokea na nimenunua muda wa maongez)

ikabid nijaze form tena halafu nkatumiwa ujumbe niactivate akaunti..mweee baada ya kuactivate naangalia salio lipo zero,..duh nikalazimika kurud tena vodashop kuuliza ooh hela ipo kwny lisaiko jaza form upewe hela yako. yan toka tarh 24/7 mpaka saiz hakuna kurefund wala nini?
Je napeleka lalamiko langu wangu?, hivi naweza kuwaripoti TCRA kwa kosa kama hili?
 
Mimi nilifanya muamala kupitia huduma ya lipa kwa mpesa , Mara mbili sijupata SMS na hela ilikatwa, nimepiga huduma kwa wateja naambiwa kuna tatizo LA mtandao, muamala nilifanya tangu tarehe 17 mwezi huu hadi Leo hii hela yangu sijarudishiwa.

Vodacom ni kero sana. Hela yangu mnakaa nayo muda wote huo utafikiri mkirudisha mnarudisha na riba. Nimetokea kuwachukia sana. Zaidi ya wiki hela ipo hewani tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom