Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Wanajamiii forum
Miezii kama miwilii nimeenda ofisi za vodacome nikanunua modem ya Vodacome nikijua kwamba yaweza kunisaidia kwa shighuli za kiofisiii
Lkn nimejitaaa kununu ya huu.mtandao kwani mambo yamekuwa sivyoo
Toka mwezi wa tatuu nanunua bandle la mwezii alafu linaisha buta data sipatii wala nini
Nimeamua niweke chiniiii tuuu sasa maana kazi haziendiii
Najua wahusika mmo humuhumuu

Mnakeraa nyinyii vodacom na mibandle yenuuu kaeni tuuu
Muwaachie makampuni mengine shughuli ya kutoa data mfanaye kutengeneza kupiga na kupigiwa tuuu

Maana hamna lolote mnalowezaaa
 
Kwa upande wangu wameniboa sehemu moja nene tu.

Nilikua na ofa inayoitwa "YA KWAKO TU" ambapo kwa takribani mwaka mzima nimekua nalipa 2000/- kupitia *149*03# napata GB 3 kwa siku tano ambazo zilikua mujarabu kabisa kwa matumizi yangu ya data.

Kwa sasa wameondoa na kupandisha bei. Wameniboaje?
 
Mkuuu hawa watuuu hamna kituu
Modem nimenunua ghalii bandle ghalii
Hawa watuu watufilisiii jumatatu nimepanga niende ofisi kwao huku mkoani niwarudishie modem yao
 
Hapoo sasa nilikuwa nawatakaa nyinyi
Nilikuwa mkoa mmoja wa humu katika ya nchi
Nilinunua modem toka January ilikuwa inafanya kazii vizuri tuu hukuu manyara mkoanii
Anzia mwezi wa tatu imekataa kabisaaa hadi sasa nimepoteza pesa zangu kununu bandle la mwezi mara mbiliii afuu huduma hakunaaaa
Nimerudisha ofisi kwenuu hakuna kilichofanyikaaa sina hamu na nyinyiiii hata kidogo na haluna lakunishawishi tenaa
 
Nyinyi vodacom hovyo kabisa yan bundle la "ya kwako tu" mnaniwekea kifurushi cha chini 30000/= kwa wiki!!!

Wakati wengine mnawapa 300MB kwa 200/=

Kweli huu ni ubepari mazafantas
 
Kwa nini mtu akituma pesa kutoka nje ya nchi kwa Worldremit kupitia mtandao wenu wa vodacom inachukua masaa 24 au zaidi, wakati mtandao wa tigo huchukua dakika 2 hadi 5 tu pesa inamfikia mlengwa tayari kwa matumizi?

Nawashauri mboresha mfumo wenu wa electronic money ili uwe effective pia.
 
Mkuu usipofuatilia hili itakula kwako ...kuwa makini mkuu hela yako itakwenda bure.

Nenda Vodacom
 
Mkuu usipofuatilia hili itakula kwako ...kuwa makini mkuu hela yako itakwenda bure.

Nenda Vodacom
Asante mkuu
Nilikuwa natafakari nianzie wapi
Nilienda pale milenium wakaniambia niende ofisi za hisa mjini ziko wapi
 
Habari yako kaka Mwalla,nami nilikuwa nataka kununua izo hisa za vodacom,kwani mwanzo ulizinunua kwa kiasi gani na pia kama utaziuza utaziuza kwa kiasi gani
 
Habari yako kaka Mwalla,nami nilikuwa nataka kununua izo hisa za vodacom,kwani mwanzo ulizinunua kwa kiasi gani na pia kama utaziuza utaziuza kwa kiasi gani
Mpaka nijue soko la hisa limesimamia ngapi ndo ntakwambia
 
Jana tarehe 3/5/2018 nilipigiwa simu na namba ya zamani ya Voda +255 744 834 637, nikiwa katika harakati za kuipokea ikakatika na nilipoipiga nilielezwa kuwa namba ninayoipiga haipo!

Je namba hii ipo?
Au ni mitambo ilikorofisha?
Ama nilitaka kutapeliwa?
Naomba mchunguze na kunifahamisha. Asanteni.
 
yaani leo kuanzia saa moja nimeshindwa kujiunga na huduma ya ofa ya kwako tu et haipatikani kama mmeiondoa c mtujulishe ukweli mnakera sana kwa staili hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…