modem yao nimeitupa uvungun jana, narudi ZANTEL.
kama ujui anazungumzia nini kaa kimyaa si kila thread lazima uchangie mzeeMbona mm huwa naitumia na naifurahia ,ina speed ya kutosha na hata nkinunua bundle mfano ya siku unlimited bado inakua na speed na unlmited kwel kwl
ni kweli mzee mi naona hamna hata wizara moja ambayo imefanikiwa imekuwa kwa speed hii wizara ovyoooo watu tunaibiwa yamekaa kimyaa makampuni ya cm hayalipi kodi yamekaa kimyaa na bado hata somo la hisa awajajisajiri nayo wanajua kwanini msiwakabe heti ndio unataka urais nadhani wewe unataka urahisi na sio uraisLi-Professa linalosimamia TCRA lina matege ya akili, pu.MBA.vu kabisa linaachia tunaibiwa hadharani hivi utafikri hakuna mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano! Nimenunua dk za 899 nikapewa dk 20 na 100mb badala ya 150mb!
mi nashangaa wakati mwingine unakatwa pesa bila sababu, makampuni ya cm hayapo katika soko la hisa la dsm, wizi matika vifurushi ndio tumeshachoka ,tunaibiwa sana pakusema hamna ndio uyo naibu waziri heti anatangaza kugombea urais nadhani huyu anataka urahisi na sio uraisLi-Professa linalosimamia TCRA lina matege ya akili, pu.MBA.vu kabisa linaachia tunaibiwa hadharani hivi utafikri hakuna mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano! Nimenunua dk za 899 nikapewa dk 20 na 100mb badala ya 150mb!
Jamani Voda ni wezi aisee... Mie last saturday nilinunua muda wa maongezi kwenye mpesa. Ile nataka kujiunga na kifurushi nikaambiwa sina salio la kutosha wakati niliponunua salio walinipa confirmation ya kuwa salio limeongezeka.
Basi kwa vile nilikuwa ninahitaji mawasiliano ya haraka kwa wakati ule sikujali nikanunua tena salio na kujiunga.
Ila pesa yangu ndio ililiwa jamani, hivi tufanyeje ba huu wizi kwa kimachomacho??
Msije mkalogwa mkanunua bundle la mwezi kama nilivyofanya mimi. Nimenunua bundle la la Mwezi la gb 1. Nimetumia siku 3. Tena katika whats app. Baada ya siku 3 naambiwa eti eti zimebaki bundle 365mb. Leo asubuhi zimebaki bundle 46mb. Wezi wakubwa hawa vodacom. Msije kufanya makosa niliyofanya mimi i thought nina save kumbe ndo ninaibiwa. Nilikuwa naitetea sana inaposemwa vibaya hii kampuni. Kwa tukio hili sina imani nao tena. Wezi wakubwa.
Mi natumia vifurushi vya tiGO, najiunga bundle ya siku 3 kwa sh.1000 napata 30GB za ukweli, kuanzia saa 5-11 asubuhi, kwa hizo siku tatu nashusgha zaid ya 15GB net isipozingua.
Jana nilinunua bando la tgo la siku moja kwa Tsh 999, hakuna nilichotumia intaneti haifunguki kabisaaa
Jaman msije jiloga mkanunua vifurishi vya voda unlimited havina speed kabisa yani net inasinzia kabisa kweli vya bure gharama