Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vifurushi kupunguzwa volume ni baada ya tar 1 July kwa sababu ya increase on VAT, so badala ya kuongeza gharama kwa pesa unapunguziwa ujazo wa kifurushi unachonunua. TCRA yenyewe mnayozungumzia wanajua tatizo ni nini.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mi natumia vifurushi vya tiGO, najiunga bundle ya siku 3 kwa sh.1000 napata 30GB za ukweli, kuanzia saa 5-11 asubuhi, kwa hizo siku tatu nashusgha zaid ya 15GB net isipozingua.
 
Mbona mm huwa naitumia na naifurahia ,ina speed ya kutosha na hata nkinunua bundle mfano ya siku unlimited bado inakua na speed na unlmited kwel kwl
 
Mbona mm huwa naitumia na naifurahia ,ina speed ya kutosha na hata nkinunua bundle mfano ya siku unlimited bado inakua na speed na unlmited kwel kwl
kama ujui anazungumzia nini kaa kimyaa si kila thread lazima uchangie mzee
 
Li-Professa linalosimamia TCRA lina matege ya akili, pu.MBA.vu kabisa linaachia tunaibiwa hadharani hivi utafikri hakuna mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano! Nimenunua dk za 899 nikapewa dk 20 na 100mb badala ya 150mb!
ni kweli mzee mi naona hamna hata wizara moja ambayo imefanikiwa imekuwa kwa speed hii wizara ovyoooo watu tunaibiwa yamekaa kimyaa makampuni ya cm hayalipi kodi yamekaa kimyaa na bado hata somo la hisa awajajisajiri nayo wanajua kwanini msiwakabe heti ndio unataka urais nadhani wewe unataka urahisi na sio urais
 
Jamani Voda ni wezi aisee... Mie last saturday nilinunua muda wa maongezi kwenye mpesa. Ile nataka kujiunga na kifurushi nikaambiwa sina salio la kutosha wakati niliponunua salio walinipa confirmation ya kuwa salio limeongezeka.

Basi kwa vile nilikuwa ninahitaji mawasiliano ya haraka kwa wakati ule sikujali nikanunua tena salio na kujiunga.

Ila pesa yangu ndio ililiwa jamani, hivi tufanyeje ba huu wizi kwa kimachomacho??
 
voda nuksi hata kama kutumia smartphone haimanishi kukatwa kiasi hicho kikubwa cha fedha.....ni uwizi uwizi uwizi tu
 
Binafsi nimewahi kutumia vodacom, tigo, airtel na zantel. Kote huko wana namna zao za kuiba ila vodacom kwa sasa inaongoza kukwapua pesa za wateja kinguvu tofauti na wengine wanaonyofoa kinyemela.

Tatizo kuu ni msimamizi wa mawasiliano ambaye ni TCRA, amewaacha wajanja watupige na tunapigika hasa bila hata msaada wowote.

Niliamua kuhama vodacom na niliahidi kuwashawishi ndugu, jamaa na marafiki zangu wahame pia. Ninayo furaha kubwa kuwaambia kua ushawishi wangu umefanikiwa kwa 68% mpaka sasa toka December 2013.

Mwisho niwape pole wanaoendelea na vodacom maana ni chaguo lao kwa hiari yao. Japo huku niliko kwenye mitandao naibiwa pia lakini si kwa kasi kama ya voda. Wahudumu wa mitandao mingine wako makini na wepesi kusikiliza shida ya mteja. Jaribu huduma kwa wateja voda, oooh, kazi ni kwako.
 
Li-Professa linalosimamia TCRA lina matege ya akili, pu.MBA.vu kabisa linaachia tunaibiwa hadharani hivi utafikri hakuna mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano! Nimenunua dk za 899 nikapewa dk 20 na 100mb badala ya 150mb!
mi nashangaa wakati mwingine unakatwa pesa bila sababu, makampuni ya cm hayapo katika soko la hisa la dsm, wizi matika vifurushi ndio tumeshachoka ,tunaibiwa sana pakusema hamna ndio uyo naibu waziri heti anatangaza kugombea urais nadhani huyu anataka urahisi na sio urais
 
bando ya 499 ilikuwa na dk 15 sms 300,na mb 125

baada ya muda kidogo kwa pesa hiyo hiyo bando ikawa na dakika kumi na mbili, mb100 na sms 300

baada ya muda teba ikawa na dk 10,na mb 75 na sms 300

wakaona haitoshi sasa ndo wamepiga jambia kalii bando ya pesa ile ile sasa ina
dakika9
mb 40
sms300

TCRA MPOO AU KAZI YENU NI KUHIMIZA #FUTA DELETE KABISAA#
 
Jamani Voda ni wezi aisee... Mie last saturday nilinunua muda wa maongezi kwenye mpesa. Ile nataka kujiunga na kifurushi nikaambiwa sina salio la kutosha wakati niliponunua salio walinipa confirmation ya kuwa salio limeongezeka.

Basi kwa vile nilikuwa ninahitaji mawasiliano ya haraka kwa wakati ule sikujali nikanunua tena salio na kujiunga.

Ila pesa yangu ndio ililiwa jamani, hivi tufanyeje ba huu wizi kwa kimachomacho??

Weka DATA OFF kifurushi kinapokwisha/unapoweka salio na washa baada ya kununua kifurushi.
 
Msije mkalogwa mkanunua bundle la mwezi kama nilivyofanya mimi. Nimenunua bundle la la Mwezi la gb 1. Nimetumia siku 3. Tena katika whats app. Baada ya siku 3 naambiwa eti eti zimebaki bundle 365mb. Leo asubuhi zimebaki bundle 46mb. Wezi wakubwa hawa vodacom. Msije kufanya makosa niliyofanya mimi i thought nina save kumbe ndo ninaibiwa. Nilikuwa naitetea sana inaposemwa vibaya hii kampuni. Kwa tukio hili sina imani nao tena. Wezi wakubwa.

Mkuu bando la mwezi halina 1GB tizama uzuri confirmation SMS.
 
Mi natumia vifurushi vya tiGO, najiunga bundle ya siku 3 kwa sh.1000 napata 30GB za ukweli, kuanzia saa 5-11 asubuhi, kwa hizo siku tatu nashusgha zaid ya 15GB net isipozingua.

Jana nilinunua bando la tgo la siku moja kwa Tsh 999, hakuna nilichotumia intaneti haifunguki kabisaaa
 
Jaman msije jiloga mkanunua vifurishi vya voda unlimited havina speed kabisa yani net inasinzia kabisa kweli vya bure gharama
 
Mkuu ni kweli.
Nilinunua mwezi uliopita ni upuuz mtupu.
 
Back
Top Bottom