Kuna kitu nadhani watu wengi wanaolalamika kuwa wanaibiwa mnakosea. Kama unatumia smartphone na hujajiunga na bando la internet ni lazima pesa yako itaendelea kuliwa taratibu hadi iishe. Cha msingi kama wewe hutumii inernet nenda kwenye mobile network then iweke off! Otherwise applications ambazo zinafanyakazi katika background zitamaliza pesa yote.
Lingine ni kwamba wameblock hata mtandao wa jamiiforums haupatikani kama unatumia line ya voda na kama unabisha jaribu na utanipa jibu
Airtel ni waizi kwenye MB za internet. Ole wako kifurushi choko cha MB kiwe kimeisha halafu kuwe na salio ambalo siyo la kifurushi mbona utajuta.
Mie ni miezi mitatu sasa nimeiweka kapuni line yao..
Airtel ni waizi kwenye MB za internet. Ole wako kifurushi choko cha MB kiwe kimeisha halafu kuwe na salio ambalo siyo la kifurushi mbona utajuta.
hawa washenzi niliamua kuachana nao mara tu walipopunguza dakika za cheka kupiga mitandao yote....
Bora Airtel kwa sasa ambayo kwa Tsh 19999 napata dakika 650 kupiga mitandao yote kwa mwezi mzima.
Mie ni miezi mitatu sasa nimeiweka kapuni line yao..
Voda wachafu sana,japo mitandao karibia yote inashida lakin la voda ni tatizo kubwa,mi hadi newakimbia kwan hata ukowapigia customer care wanakuzungusha...mamlaka husika ichukue hatua wasisubiri hadi iwe ugomvi kwan kuna watu hawawezi vumilia uchafu.
airtel ni waizi kwenye mb za internet. Ole wako kifurushi choko cha mb kiwe kimeisha halafu kuwe na salio ambalo siyo la kifurushi mbona utajuta.
TCRA wana mtindo wa kukalia malalmiko ikipita wiki mbili hawakujibu wakilisha malalamiko kwenye tume yaa ushindani ofisi zao ziko ubungo