voda - voda 8000 sec, voda kwenda mitandao mingine 300 sec. ..kwanimw usihamie airtel? Nilichelewa sana kujiunga na BABA LAO.
Vodacom wamekithiri ktk wizi...
1. Nilijiunga na kifushi cha Cheka, 7000 kwa wiki... Kesho yake kuangalia kifurushi kimekwisha.... Wakati sikutumia sana.
2. Ktk bango lao la kutoa na kutuma pesa kwa Mpesa wameandika kuwa, kutuma fedha kwa wateja wasiosajiliwa kutoka 400,000 mpaka 499,999 wanatoza 7000... Wiki iliyopita nilituma 490,000 wakanikata 7800.. Ikiwa ni ziada ya 800.
3. Kutuma pesa kwa wateja wasiosajiliwa, kutoka 20,000 mpaka 49,999 wanatoza 1,600... Nilituma 20,000 wakanitoza 1,800... Ikiwa ni ziada ya 200.
.
Kuna wizi mkubwa kwa fedha za salio za wateja unaoendelea sasa hivi katika mtandao wa Vodacom.
Kwa vile hili si jungu bali ukweli nimisha report wizi huo katika kitengo cha malalamiko TCRA kwa hatua zaidi.
Nimeweka salio la Tsha 10,000 mchana wa leo kwa Mpesa ref Y23SY687 na baada ya muda mfupi nikakuta salio langu la maongezi ni sifuri.
Nikanunua vocha na kutumiwa tshs 10,000 na hela yote imekatwa tena.
Wateja wa Vodacom jihadharini, kuna mwizi kaingia mtandaoni Vodacom
.
Habari ndugu mteja,tunaimani tumeelewana kama tulivyozungumza kwa njia ya simu asubuhi ya leo hii,pole sana.
Kuna kitu nadhani watu wengi wanaolalamika kuwa wanaibiwa mnakosea. Kama unatumia smartphone na hujajiunga na bando la internet ni lazima pesa yako itaendelea kuliwa taratibu hadi iishe. Cha msingi kama wewe hutumii inernet nenda kwenye mobile network then iweke off! Otherwise applications ambazo zinafanyakazi katika background zitamaliza pesa yote.
bila shaka huyu ni m1 wao (mfanyakaz wa voda) anaandika utumbo tu tofauti na malalamiko ya wadau hapa.watch out wa2 wana machungu...
...
...
...
UPDATE
=====
VODACOM wamefanya ustaarabu wa kunipigia baada ya kuona detail ya transaction hapo juu, na kuiona kwenye mtandao wa Jamiiforums.
Kimsingi wameapologise kwa mtafaruku uliotokea lakini wamenieleza nifike ofisini kwao kuona aian ya simu ninyotumia isije ikawa data apps ziko wazi.
Na kweli baada ya maongezi ya kuchunguza, mobile data setting ilikuwa ON, na mimeizima sasa.
Hata hivyo ni vema nitaenda kupata maelezo ya kuyeyuka kwa salio langu , karibu 20,000, kwa siku moja.
Wanabodi mtajulishwa inawezekana kuna wenye tatizo kama langu.
ofisi za zipo ubungo plaza wanafanya kazi kama ya kimahakama kuna kipindi niliwasilisha malalamiko tcra walichukua hadi miezi mitano hawajashugurikia