Jamani hapa nilipo nacheka eti VODACOM NJOO UJIBU!
Wapuuzi sana Vodacom, pale wanapo funga na kugawa line yako salio la M Pesa ndo chakula chao, kama Vodacom anabisha, atuambie ni wateja wangapi wamewatafuta na kuwarejeshea fedha zao.
Binafsi ninawachukia kama kinyesi kwakweli siwapendi kabisa hao wadudu, kama wagekuwa ni watu wenye kuwajali wateja wangewek utaratibu wa kuomba mawazo ya wateja kabla ya kufanya mabadiliko ya kimifumo na hasa ile inayowagusa moja kwa moja wateja.
Hoja ya Husninyo ina mashiko maana hata mie yamenikuta kwani nilikuwa nina line ambayo nilikuwa naitumia kwa ajili ya moderm, wakati mwingi nipo poli alafu mbaya zaidi mtandao wa internet huwa unashika vizuri zaidi mijini lakini mawilayani huko ita-search mpaka utakoma hivyo nikawa naitumia mara chache chache, kwa sie tunaopiga misele sana vijijini tunakuwa tuna line mitandao yote na moderm mitandao yote, ikizingua Voda unatumia mtandao mwingine mpaka kazi yako itakapoisha ndio unarudisha. Kikubwa ni kuboresha mtandao wao ili uweze kupatikana kila mahali kuanzia internet mpaka simu alafu ndio waje na habari zao hizo, Bank wenyewe hata kama una salio linasoma sifuri au negative 1000 lakini bado wanakupigia kukuuliza kulikoni ili uweze kwenda kui-activate a/c yako sembuse mitandao ya simuNimeipenda sana comment yako nilishapata kuwapa mapendekezo kama hayo hayo wakanijibu wao wanafanya biashara
Makampuni haya yameingiwa na tamaa saasa hivi na hawajui wanadrain out wateja wao na kujikosesha mapato
Check hapa Kwa pichaFuata na kuweka hivi
Name: Jina lolote unalopenda kuweka (All Network)
APN: internet
Authentication type: changua PAP and CHAP
APN type: andika default
Sehemu zingine acha wazi usijaze
Nimemaliza
huawei Y300 naomba anayezijua APNs kwa line ya voda anitumie au afanye screenshot atume pic
Na VPN kwenye cm inafanyaj kaz?