Vodacom Tanzania
Official Account
- Aug 12, 2013
- 324
- 126
- Thread starter
-
- #1,481
Pole sana, tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi. Tunaomba radhi kwa usumbufu.inaelekea mnara wenu Kinyerezi mwisho una matatizo au haufanyi kazi au labda eneo lile hamna mnara labda tunahudumiwa na mnara wa mbali sana. Mawasiliano kwa ujumla ni mabaya sana, kupiga simu shida wakati wowote mnara unashuka na simu inakatika, wakati mwingine mtu wa upande mwingine humsikii. Kwa upande wa internet ndio balaa kabisa, yaani huwezi kufanya chochote. Mbona tigo na airtel haina shida yoyote nyie kitu gani kinawashinda? Namba yangu ndio ninayotumia na inayofahamika na wengi lakini nyie mnanilazimisha niitoe kwrnye simu niweke airtel au tigo
Habari,huduma iko sawa kwa sasa. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Pole sana, tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi. Tunaomba radhi kwa usumbufu.
Habari mkuu, dada wa duka gani tafadhali.
Habari, kuna taarifa muhimu na za msingi unaporipoti tatizo kwa fundi ambapo namba ya simu ni muhimu zaidi. AhsanteHivi wewe unalipwa kwa kazi hii? Unaijua kazi yako kweli?
Huyo mtu amekwambia mtandao wenu upo chini eneo hilo wewe unamjibu akupe namba yake!!
Useless kabisa wewe
Hapa kila nikiweka salio nakatwa pesa vibaya mno mpaka nomeamua kusitisha tatizo nini bandugu
Habari, umewasiliana na Benki kuhusu hili mkuu?Nilinunua salio kupitia ATM ya NBC lakini salio halikuingia kwenye namba yangu ambayo ni 0757371064
Hapana mkuu, pole.Nimenunua simu ya 4G baada ya kuweka laini nikaambiwa haisupport 4G je naweza badilisha laini inayosupport 4G?
Mkuu yenyewe Vodacom Tanzania ndiyo mtandao pekee unaokupa uhuru wa kweli katika kutumia huduma zake.
Namba 0755672777
Habari kuhanda kawili tafadhali hakikisha umezima huduma za Intaneti katika simu yako kabla hujaongeza salio, ongeza salio nunua kifurushi cha Intaneti kisha fungua huduma.