ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 442
Ni kweli kabisa mkuu vijamaa ni vijizi sana mimi niliweka 15000 hazikuisha dakika tano kucheki salio nakuta sifuri nikawapigia simu wanasema ni kweli wanaona nimeweka lakini mtandao hauonyeshi zimeenda wapi mpaka leo hewa wakaja kunipiga tena 10000 uuuuuwiiiiii noma nikikumbuka pesa zangu
Mkuu sijapozwa wala nini, na mimi nimeambiwa jibu hilo ambalo sasa inaelekea ni standaed answer kwa fedha zinazopotelea mtandao wa VODACOM.inawezekana wewe umepoozwa tu mimi wameniibia tshs 30337 na 600mb eti wananiambia zimetumika kwenye data ndani ya saa tatu na ni kwenye simu..voda ni waizi..na ninahamia airtel..
HIYO kweli hata Mimi nililiwa 20000 huku siamini amini hivi,, nilikuwa nataka kujiunga na cheka ya wiki kwenye smartphone wakalamba pesa kabla sijajiunga nikaweka tena wakakomba salio lote nikahama kutumia Vodacom kwa muda..
Uzembe wako mwenyewe afu wawalaumu voda, wakuibie wewe una nini cha kuibiwa
kwa hakika vodacom ni wezi wakubwa sana hapa nchini , kila ukiweka salio likakaa muda wa masaa nane hujatumia lazima ukute limepungua au kuisha kabisa , ukiacha salio usiku asubuhi hukuti kitu,
pia ukinunua kifurushi cha kiwango chochote kile umeliwa kwa sababu internet yao haina nguvu yakukuwezesha kufanya jambo lolote .
nimewalalamikia mara nyingi sana customer care lakini hawajapata kunisaidia chochote ,nikaamua kwenda kwenye ofisi zao hawakunipa maelezo ya kuridhisha , nimedhamiria kwenda TCRA nipeleke malalamiko , kwa sasa bado nakusanya ushahidi wa wizi huu, TCRA wasipotoa msaada , kisutu watafanya kazi yao nitawaburuza mahakamani.
mimi wameshaniibia pesa nyingi sana namalizia kukusanya ushaidi nielekee TCRA wakiniletea utoto wao nitaenda mahakamani, haiwezekani watu tunanunua huduma hewamimi nimeamu kuhama mtandao..
hata kama ukitoa pole nyinyi ni wezi wakubwaHabari ndugu mteja,tunaimani tumeelewana kama tulivyozungumza kwa njia ya simu asubuhi ya leo hii,pole sana.
Ahsante Sana Mkuu Lole Gwakisa kwa kutuamsha tuliolala. Mimi nimeamua kufanya maamuzi magumu ya kuachana na line yangu ya Vodacom niliyoinunua August 2001. Nabakiza simu ya 0754 kama receiver Tu majeshi yote nayahamishia 0787.
Unajua hii Vodacom inamilikiwa kwa zaidi ya 35% na Rostam pamoja na Lowassa, hawa jamaa wawili wamefuzu kama MAJIZI YA KIDUNIA ndio maana Rostam ana dola bilioni moja, majizi haya yameiweka serikali mfukoni. CCM haikubaliki jamani, tushirikiane kuitokomeza.
Ngagha fijo malafyale Gwakisa, Airtel yatosha.
Mkuu sijapozwa wala nini, na mimi nimeambiwa jibu hilo ambalo sasa inaelekea ni standaed answer kwa fedha zinazopotelea mtandao wa VODACOM.
Uzembe wako mwenyewe afu wawalaumu voda, wakuibie wewe una nini cha kuibiwa
kwa hakika vodacom ni wezi wakubwa sana hapa nchini , kila ukiweka salio likakaa muda wa masaa nane hujatumia lazima ukute limepungua au kuisha kabisa , ukiacha salio usiku asubuhi hukuti kitu,
pia ukinunua kifurushi cha kiwango chochote kile umeliwa kwa sababu internet yao haina nguvu yakukuwezesha kufanya jambo lolote .
nimewalalamikia mara nyingi sana customer care lakini hawajapata kunisaidia chochote ,nikaamua kwenda kwenye ofisi zao hawakunipa maelezo ya kuridhisha , nimedhamiria kwenda TCRA nipeleke malalamiko , kwa sasa bado nakusanya ushahidi wa wizi huu, TCRA wasipotoa msaada , kisutu watafanya kazi yao nitawaburuza mahakamani.
Kuna kitu nadhani watu wengi wanaolalamika kuwa wanaibiwa mnakosea. Kama unatumia smartphone na hujajiunga na bando la internet ni lazima pesa yako itaendelea kuliwa taratibu hadi iishe. Cha msingi kama wewe hutumii inernet nenda kwenye mobile network then iweke off! Otherwise applications ambazo zinafanyakazi katika background zitamaliza pesa yote.