ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 442
Ni kweli kabisa mkuu vijamaa ni vijizi sana mimi niliweka 15000 hazikuisha dakika tano kucheki salio nakuta sifuri nikawapigia simu wanasema ni kweli wanaona nimeweka lakini mtandao hauonyeshi zimeenda wapi mpaka leo hewa wakaja kunipiga tena 10000 uuuuuwiiiiii noma nikikumbuka pesa zangu
HIYO kweli hata Mimi nililiwa 20000 huku siamini amini hivi,, nilikuwa nataka kujiunga na cheka ya wiki kwenye smartphone wakalamba pesa kabla sijajiunga nikaweka tena wakakomba salio lote nikahama kutumia Vodacom kwa muda..