Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,724
- 1,693
Inategemeana na maeneo. Hata mtandao unaousifu ukienda kwingine haufanyi kazi haswahaswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
K2 airtel
K2 airtel
waheshimiwa vipi kuhusu Tigo Bundle ya 35 GB kwa waliojaribu
Voda kwangu huwa inasoma hadi 5mbps kwenye dashboard nikiwa nina download, ni mtandao wenye kasi zaidi eneo hili, lakini leo kwakweli kuna tatizo, nimeweka unlimited ya saa 24, speed ya leo kizunguzungu tu, kwenye dashboard hata 1mbps haifiki. Leo kuna tatizo tu. Ni siku nne zilizopita ziliweka bundle hii hii na speed ilikuwa kama kawaida (5mbps kwenye dashboard).
Dahh mkuu hiyo 5mbps mbona ndogo sana, nadhani home page ya JF kwenye laptop itaload kwa nusu saa!! Pole sana
5Mbps ni ndogo?
Kwani we unapata ngapi?
Mdau kaandika 5mbps sio 5MBps..(5mbps/ &Mbit/s or 5Mbps = 5 Megabit per second) na (5MBps & 5MB/s = 5Megabytes per second)!!respectively,,
nilichokifanya mimi,nimebomoa modem ya airtel ili iingie kila line,then natumia line ya voda.hiyo ndo atleast ina spid.airtel yenyewe ni bure kabisa.internet yenye spid huwa ni zantel.kwa hilo hawana mpinzani kati ya zile ambazo nilisha wahi kuzitumia.sema tu vigharama vyao viko juu kidogo.huwa nikiwa na mzigo mkubwa wa kupiga ndo huwae najipendelea zantel
Mdau kaandika 5mbps sio 5MBps..(5mbps/ &Mbit/s or 5Mbps = 5 Megabit per second) na (5MBps & 5MB/s = 5Megabytes per second)!!respectively,,