Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

naomba mnifahamishe km inawezekana kurudishia akaunt ya m_pesa iliyofungwa kutokana na kukosea namba ya siri ...process zinakuaje? plz nisaidien kwa wanaofahamu
 
Piga simu Vodacom huduma kwa wateja (100 - Bure au 15366 - Unalipia). Watakuuliza maswali ili kujiridhisha kuwa wewe ni mmiliki halali wa hiyo namba kisha watakufungulia hiyo huduma. Iwapo hukumbuki PIN yako basi watakutumia "Namba ya kianzio" ambayo utaitumia kuweka PIN mpya..

Kila la Heri.
 
Voda kwangu huwa inasoma hadi 5mbps kwenye dashboard nikiwa nina download, ni mtandao wenye kasi zaidi eneo hili, lakini leo kwakweli kuna tatizo, nimeweka unlimited ya saa 24, speed ya leo kizunguzungu tu, kwenye dashboard hata 1mbps haifiki. Leo kuna tatizo tu. Ni siku nne zilizopita ziliweka bundle hii hii na speed ilikuwa kama kawaida (5mbps kwenye dashboard).
 
Ipo poa sana na ni 30gb kwa 1000 tena inadumu kwa siku tatu. Hakuna mpinzani wa tigo kwa sasa yaani kwa kifupi tigo ni noooooooooooooooma, kama ulikuwa hujuwi pia tigo wanatoa facebook bure kuanzia kuperuzi, kuangalia video zilizomo facebook pamoja na kuzidownload bado ni bureeeeeeeeeee. Ila nasikia mikoani speed yao siyo nzuri kama tuipatayo Dar

waheshimiwa vipi kuhusu Tigo Bundle ya 35 GB kwa waliojaribu
 
Ni kifurushi gani hicho cha 3 days. Na unajiunga vipi mkuu?
 
Voda kwangu huwa inasoma hadi 5mbps kwenye dashboard nikiwa nina download, ni mtandao wenye kasi zaidi eneo hili, lakini leo kwakweli kuna tatizo, nimeweka unlimited ya saa 24, speed ya leo kizunguzungu tu, kwenye dashboard hata 1mbps haifiki. Leo kuna tatizo tu. Ni siku nne zilizopita ziliweka bundle hii hii na speed ilikuwa kama kawaida (5mbps kwenye dashboard).

Dahh mkuu hiyo 5mbps mbona ndogo sana, nadhani home page ya JF kwenye laptop itaload kwa nusu saa!! Pole sana
 
Mdau kaandika 5mbps sio 5MBps..(5mbps/ &Mbit/s or 5Mbps = 5 Megabit per second) na (5MBps & 5MB/s = 5Megabytes per second)!!respectively,,

Nazielewa vizuri hizo calibration
Mm nafikiri hiyo speed ni kubwa sana ukizingatia anatumia modem yenye max speed ya 7.2Mbps....Kwake hiyo 5Mbps ni kubwa sana na ni kubwa kwa Watanzania wote maana ni sawa sawa na kudownload file kwa speed ya 650KB/sec ambayo sio ndogo mkuu...tena kwa kufungua pages na kustream video haina buffering hata punje
 
nilichokifanya mimi,nimebomoa modem ya airtel ili iingie kila line,then natumia line ya voda.hiyo ndo atleast ina spid.airtel yenyewe ni bure kabisa.internet yenye spid huwa ni zantel.kwa hilo hawana mpinzani kati ya zile ambazo nilisha wahi kuzitumia.sema tu vigharama vyao viko juu kidogo.huwa nikiwa na mzigo mkubwa wa kupiga ndo huwae najipendelea zantel

qg8t.jpg

mkuu eneo la kwenu ndio majanga maana huku kwetu Airtel ndio wanakimbiza mbaya yaani download kwa idm ni 1MB/sec ila tokea nifunge hicho kichujio kitu inagonga 2MB/sec daily.
Mtandao unaofuata kwa speed ni Zantel afu ndiyo voda wakati tigo ndiyo Ziro kabisa
 
Back
Top Bottom