Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hatuna hela ya kampeni ndo tunazichanga hivyo.
Voda wanakera sana aisee, tena ni wizi wa wazi wazi, jana usiku nimeweka salio la 2000, then nikaactivate bandle ya 500tsh ya 200 MB, hata kufungua google ilichukua zaidi ya nusu saa. Baada ya kutuma mail nikatoa modem, naangalia salio nakutana na sh 0, na bandle nayo ni 0...f*ck
Sio siri,hawa jamaa ni kichefuchefu....yani kufungua google ni ishu.:angry::angry::angry:
Alafu mnakera sana nyie,meseji unatuma leo inafika kesho..kama hamuwezi kutoa huduma bora muache tujue hampo kabisa...Habari Easymutant mara nyingi hii hutokea pindi mteja anapokuwa amejiunga na zaidi ya kifurushi kimoja hivyo kifurushi cha awali kinapokwisha mteja anadhani ni kifurushi kipya alichojiunga nacho. Inapotokea hali hii tafadhali piga *147# kuangalia salio. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.
Leo asbh nimeweka kiasi cha tsh 3500 nimejiunga bundle ya 3499 ya wiki ili nipate dk60 na mb200 chakushangaza napata ujumbe.
Salio langu halitoshi kujiunga....nikicheki salio *102# naona nina 3504.99 sasa nauliza inakuwaje nyie vodacom...
KUANZIA LEO NAHAMA KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA NAHAMIA KULE TIGO MINI KABANG SITANUNUNUA TENA VODA YENU.
TCRA MNAFANYA KAZI GANI JAMANI...JUZI NAPO WAMENIIBIA 500 SIJAPIGA WALA KUPOKEA WALA KUTUMA UJUMBE NA SIMU YANGU SIO SMARTPHONE.