Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hapa wangekuwa na uwezo, wanatamani kama wampe BAN kila anayeandika hapa ila sema tu hawana meno, huku ni kuchanana tu.
Mimi kuna siku nilijaribu kuwachana kidogo tu kuhusu huduma zao, duh! kwa hasira wakaamua kuni-block kabisa kupitia facebook.
hawa voda wasipojirekebisha wateja wao watapoteza wengi sana......huku kitaa kila anaulaani huuu mtandao kwa huduma zao za ajab
voda hambadiliki mshapewa lawama nyingi...nyinyi tu...huduma zenu mbovu idara zote....[/QUOTE mkuu usipoondoka hawawezi kufanya marekebisho..na ukiwahama huwezi kulalamika.. nimeleta hii post kuwakumbusha tu watanzania washituke.. huko siko..KAZI NI KWAKO.. UHAME AU UENDELEE KUCHUNWA...
Ha ha haaa tuko wengi kumbe nilijua peke yangu.Mie line yangu voda iko hewani lakini inaenda mwezi sijaweka vocha ni mwendo wa kupokea simu tuk kama simu ya mezani!
Mmmm nimeshawishika.
Ila Voda wanajitaidi sana kwenye internet si kama hao wenzao..... kuhusu gharama za mawasiliano wote ni wale wale
fuatilia maoni ya wadau mbalimbali hapa hadi kwenye ukurasa wao wa facebook.. ukupata mtu anausifia mtandao wa vodacom basi ni 1/1000, sasa kwa nini wote wauchukie mtandao wa voda tu wakati walikuwa wateja wazuri huko?