Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Hawa voda wanakera sana huduma zao zimekuwa juu sana hasa vifurushi vyao ni vya gharama sana bora kuhama huu mtandao
 
Hivi hapa wangekuwa na uwezo, wanatamani kama wampe BAN kila anayeandika hapa ila sema tu hawana meno, huku ni kuchanana tu.
Mimi kuna siku nilijaribu kuwachana kidogo tu kuhusu huduma zao, duh! kwa hasira wakaamua kuni-block kabisa kupitia facebook.

kule facebook niliwachana live.. wakaniomba namba za simu nikaona sio issue nikawapa wakanipigia hakuna jipya.. ni blaa blaa tu.. mara eti wamepandisha garama kwa sabb ya ongezeko la kodi.. sasa swali linakuja hawa mitandao mingine inayojaribu kushusha huduma kuwajali wateja hawana hizo kodi?
 
hawa voda wasipojirekebisha wateja wao watapoteza wengi sana......huku kitaa kila anaulaani huuu mtandao kwa huduma zao za ajab
 
hawa voda wasipojirekebisha wateja wao watapoteza wengi sana......huku kitaa kila anaulaani huuu mtandao kwa huduma zao za ajab

VODACOM KAZI NI KWAKO..Usepe au ubaki..

HAWAKUBEMBELEZI.
 
Daah mi yapata miez miwili nimehamia tigo coz ni ilikuwa tabu saiv nahasau ata lini nliweka vocha ..
 
voda hambadiliki mshapewa lawama nyingi...nyinyi tu...huduma zenu mbovu idara zote....
 
voda hambadiliki mshapewa lawama nyingi...nyinyi tu...huduma zenu mbovu idara zote....[/QUOTE mkuu usipoondoka hawawezi kufanya marekebisho..na ukiwahama huwezi kulalamika.. nimeleta hii post kuwakumbusha tu watanzania washituke.. huko siko..KAZI NI KWAKO.. UHAME AU UENDELEE KUCHUNWA...
 
Vodacom imekua ya kihindi kuliko hata Airtel ya wahindi. juzi niliweka vocha ya alfu kucheki salio nakuta kuna mia mbili tu.
 
Mimi kuna huduma yao ya sokoni kila nikitaka kujitoa inakataa, nimeamua nitumie line yangu ya airtel maana nimekoma kukatwa salio langu kipumbapumbavu.
 
Ila Voda wanajitaidi sana kwenye internet si kama hao wenzao..... kuhusu gharama za mawasiliano wote ni wale wale
 
Mi am willing kuhama ata now lkn sema uku nlipo mimi wao tu ndo wananipa internet ya 3G na H+ km cvyo long tym sn ningekua pengine… hawana uzalendo
 
mdau yani nashkuru kwa mada yako yani wamenikera hasa kuongeza gharama za kutuma na kutoa pesa kuanzia kesho nahamia tigo
my tigo line nairudia voda kaeni na utapeli wenu
 
Ila Voda wanajitaidi sana kwenye internet si kama hao wenzao..... kuhusu gharama za mawasiliano wote ni wale wale

fuatilia maoni ya wadau mbalimbali hapa hadi kwenye ukurasa wao wa facebook.. ukupata mtu anausifia mtandao wa vodacom basi ni 1/1000, sasa kwa nini wote wauchukie mtandao wa voda tu wakati walikuwa wateja wazuri huko?
 
Ni kwamba tu sipendi kubadilisha badilisha line ila Ningekuwa nimeshawakimbia hawa vodacom
 
fuatilia maoni ya wadau mbalimbali hapa hadi kwenye ukurasa wao wa facebook.. ukupata mtu anausifia mtandao wa vodacom basi ni 1/1000, sasa kwa nini wote wauchukie mtandao wa voda tu wakati walikuwa wateja wazuri huko?


Mkuu unaweza ukawa uko sawa, lakini maoni yangu si lazima yafanane na watumiaji walio wengi.. nina laini 3za na 1 ya airtel, 1 ya tigo, familia yangu yote ni voda lakini bado naona voda wako juu kwa huduma zao.. nazungumzia clarity na internet speed.. kuhusu bei za kuongea wako sawa na mitandao mingine ya airtel na tgo mfano... voda 20,000 kwa mwzi ni DK 375, na Airtel ni DK 375, na tigo ni hivo hivo.........ila wanaweza imarisha ushindani wao kwenye bei... suala la kuwa kata kwenye kila kona sio haki.. kwenye internet wako comparatively Very fast...
 
Back
Top Bottom