samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
wanakera mbaya, voda hainamaana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imejiunga mini kabang leo nimepewa dk 60 wakati ilikuwa 75
mkuu hiyo 75 ilikuwa siku nyingi sana now wako kwenyo 60 na bado wanazid kupunguza
Si mhame, kwani mmepigiliwa misumari huko!? kila siku threads zaidi ya 2 khs Vodacom zinafunguliwa, hameni, wajue wamepoteza wateja for real wajirekebishe. Mwezi wa 6 niliweka bundle ya internet ya mwezi, siku 2 mbele naambiwa sina bundle, zaidi ya mwezi sasa line ipo pembeni inapigwa vumbi.
mkuu kichekesho kingine mtu cm iko hewan ila ukimpigia unaambiwa haipatikan siku nzima,katikati ya mazungumzo mara wamekatika,hawajamaa hawana tofaut na chama cha miaka ya sabini.
Huo wizi upo pia kwenye mtandao wa tiGO, mimi nilikuwa najiunga dakika za wiki lakini utashangaa siku moja huna kitu mpka sms zimeisha.Nilinunua happy hour nikapiga
kama dk 4 nikakata baada ya kumaliza kuongea nikapiga tena kuna ka dada
kakaniambia sina salio nikajua kanatania nikarudia hako ka dada
kakaendelea kuniambia sina salio kumbe kweli wameshafyeka happy hour na
nduguze. Jana jioni nilinunua kifurushi cha siku nikapewa dakika 30,
nikaongea dk kama 6 lakini leo asubuhi nikapiga kama dk 4 nilivyokata
nilpopiga kadada kamoja kakaniambia sina salio nikajua utani kumbe kweli
kila nikipiga naambiwa sina salio niwafanyeje? maana maisha yenyewe
haya yamebana kila kona.
pole Sana mkuu.ila ss mi nashangaa kitu kimoja,inakuwaje kitu kinakukera na bado unaendelea kuwa nacho?km unaona voda wezi c uhamie mtandao mwingine au ucjiunge na vifurushi vyao?Fanya maamuzi
Nilinunua happy hour nikapiga kama dk 4 nikakata baada ya kumaliza kuongea nikapiga tena kuna ka dada kakaniambia sina salio nikajua kanatania nikarudia hako ka dada kakaendelea kuniambia sina salio kumbe kweli wameshafyeka happy hour na nduguze. Jana jioni nilinunua kifurushi cha siku nikapewa dakika 30, nikaongea dk kama 6 lakini leo asubuhi nikapiga kama dk 4 nilivyokata nilpopiga kadada kamoja kakaniambia sina salio nikajua utani kumbe kweli kila nikipiga naambiwa sina salio niwafanyeje? maana maisha yenyewe haya yamebana kila kona.
Habari afsa, huduma ya Happy Hour inakuwezesha kupiga simu Vodacom-Vodacom kwa idadi ya dakika ulizonunua kuanzia muda ulionunua, mfano ukinunua dakika 20 utaweza kupiga simu kwa dakika 20 kuanzia muda huo.
Tafadhali tunaomba namba ya simu PM kwa msaada zaidi. Pole
Kwa wanaotumia windows phone
------------------------------
1. Manual Guide
2. Select "Settings" > "access point" > "add" > "Connection name"
3. Enter Tigo WAP
4. Select "Access point name"
5. Enter tigowap
6. Select "Proxy address / WAP gateway (URL)"
7. Enter 10.168.20.80
8. Select "Proxy port"
9. Enter 8080
10. Select "ok"
11. Enter Tigo WAP