Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Si mhame, kwani mmepigiliwa misumari huko!? kila siku threads zaidi ya 2 khs Vodacom zinafunguliwa, hameni, wajue wamepoteza wateja for real wajirekebishe. Mwezi wa 6 niliweka bundle ya internet ya mwezi, siku 2 mbele naambiwa sina bundle, zaidi ya mwezi sasa line ipo pembeni inapigwa vumbi.


Ilonga, line kuwa pembeni ikipigwa vumbi haitoshi nilitegemea utasema hukumbuki ilipo
 
mkuu kichekesho kingine mtu cm iko hewan ila ukimpigia unaambiwa haipatikan siku nzima,katikati ya mazungumzo mara wamekatika,hawajamaa hawana tofaut na chama cha miaka ya sabini.


Na wakati mwingine unaambiwa namba unayopiga haipo, tazama kwa makini kisha piga tena, wakati ni namba ya ofisi yao
 
Nilinunua happy hour nikapiga kama dk 4 nikakata baada ya kumaliza kuongea nikapiga tena kuna ka dada kakaniambia sina salio nikajua kanatania nikarudia hako ka dada kakaendelea kuniambia sina salio kumbe kweli wameshafyeka happy hour na nduguze.

Jana jioni nilinunua kifurushi cha siku nikapewa dakika 30, nikaongea dk kama 6 lakini leo asubuhi nikapiga kama dk 4 nilivyokata nilpopiga kadada kamoja kakaniambia sina salio nikajua utani kumbe kweli kila nikipiga naambiwa sina salio niwafanyeje? maana maisha yenyewe haya yamebana kila kona.
 
pole Sana mkuu.ila ss mi nashangaa kitu kimoja,inakuwaje kitu kinakukera na bado unaendelea kuwa nacho?km unaona voda wezi c uhamie mtandao mwingine au ucjiunge na vifurushi vyao?Fanya maamuzi
 
Nilinunua happy hour nikapiga
kama dk 4 nikakata baada ya kumaliza kuongea nikapiga tena kuna ka dada
kakaniambia sina salio nikajua kanatania nikarudia hako ka dada
kakaendelea kuniambia sina salio kumbe kweli wameshafyeka happy hour na
nduguze. Jana jioni nilinunua kifurushi cha siku nikapewa dakika 30,
nikaongea dk kama 6 lakini leo asubuhi nikapiga kama dk 4 nilivyokata
nilpopiga kadada kamoja kakaniambia sina salio nikajua utani kumbe kweli
kila nikipiga naambiwa sina salio niwafanyeje? maana maisha yenyewe
haya yamebana kila kona.
Huo wizi upo pia kwenye mtandao wa tiGO, mimi nilikuwa najiunga dakika za wiki lakini utashangaa siku moja huna kitu mpka sms zimeisha.

Nawapenda sana Airtel hawana ufala kama na ujambazi kama huu. Voda naiogopa kama ukoma
 
Asante bunited nimehamia airtel, lakini tcra wafanye kazi yao kuwatetea wateja
 
Last edited by a moderator:
pole Sana mkuu.ila ss mi nashangaa kitu kimoja,inakuwaje kitu kinakukera na bado unaendelea kuwa nacho?km unaona voda wezi c uhamie mtandao mwingine au ucjiunge na vifurushi vyao?Fanya maamuzi


Hajajua kama kuna uchaguzi mkuu mwakani
 
Hilo lipo pia katika vifurushi vya intaneti, wanasema ni unlimited wakati vifurushi hivyo vina kikomo mfano kifurushi cha siku ikifika 1GB speed inashuka kabisa jambo ambalo linapoteza maana ya huo ukomo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nilinunua happy hour nikapiga kama dk 4 nikakata baada ya kumaliza kuongea nikapiga tena kuna ka dada kakaniambia sina salio nikajua kanatania nikarudia hako ka dada kakaendelea kuniambia sina salio kumbe kweli wameshafyeka happy hour na nduguze. Jana jioni nilinunua kifurushi cha siku nikapewa dakika 30, nikaongea dk kama 6 lakini leo asubuhi nikapiga kama dk 4 nilivyokata nilpopiga kadada kamoja kakaniambia sina salio nikajua utani kumbe kweli kila nikipiga naambiwa sina salio niwafanyeje? maana maisha yenyewe haya yamebana kila kona.

Habari afsa, huduma ya Happy Hour inakuwezesha kupiga simu Vodacom-Vodacom kwa idadi ya dakika ulizonunua kuanzia muda ulionunua, mfano ukinunua dakika 20 utaweza kupiga simu kwa dakika 20 kuanzia muda huo.
Tafadhali tunaomba namba ya simu PM kwa msaada zaidi. Pole
 
Last edited by a moderator:
Habari afsa, huduma ya Happy Hour inakuwezesha kupiga simu Vodacom-Vodacom kwa idadi ya dakika ulizonunua kuanzia muda ulionunua, mfano ukinunua dakika 20 utaweza kupiga simu kwa dakika 20 kuanzia muda huo.
Tafadhali tunaomba namba ya simu PM kwa msaada zaidi. Pole

KWELI VIGEZO NA MASHARTI VIMEZINGATIWA. Tuwe waangalifu na hizi promotion zina mitego ndani yake.
USHAURI: Afsa hamia Airtel
 
voda mnanikosha sana...mb 50 tu naperuzi hadi basi..
je? hiyo unlimited intrnt nadownload mangoma kibao u tube..safi sana!!
 
Kuna email imekuwa ikitumwa kwa watu kuhusu mpesa account updates and verification ambapo link inakupeleka kukutaka kujaza form ambayo ni number ya simu na password, Kamwe usithubutu kufanya hivyo maana form itapeleka hizo info kwa hawa wezi/matapeli na watatoa pesa zako kwenye account yako ya mpesa.. vodacom toeni updates kwa wateja wenu haraka.

Email inatoka kwa hii gmail address Vodacom Center <precissionsprings@gmail.com>
Dear Vodacom Customer
,
We noticed some problem login in your Vodacom account and need to be fixed within 12 hours To avoid clossing your account.
Please (Link deleted) For quick verification.

Link hii hapa ...Nimeiedit as wameshaitoa na inadirect kwenye hosting company now


Thanks & Regards,
Vodacom.co.za
Customer Team

vodacom

 
Kwa wanaotumia windows phone
------------------------------
1. Manual Guide
2. Select "Settings" &gt; "access point" &gt; "add" &gt; "Connection name"
3. Enter Tigo WAP
4. Select "Access point name"
5. Enter tigowap
6. Select "Proxy address / WAP gateway (URL)"
7. Enter 10.168.20.80
8. Select "Proxy port"
9. Enter 8080
10. Select "ok"
11. Enter Tigo WAP

na line ya Voda je
 
Habari zenu wakuu,Asubuhi hii nimenunua umeme-LUKU kwa njia ya MPESA, nikapokea ujumbe kuwa fedha imepokelewa/imetumwa kwa TANESCO kama ilivyo ada....Nkawa nasubiri ujumbe toka TANESCO wa token ili nifeed kwa mita yangu.CHAKUSHANGAZA SASA,,,Nikapokea ujumbe kutoka MPESA usemao "Tumepokea mchango wako. Asante kwa kuchangia vita dhidi ya fistula kupitia Vodacom.#BongoIce "...Na mpaka sasa sijapokea hizo token.HUU NI WIZI AISEE.
 
Back
Top Bottom