Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Voda ndio imekuwa mkombozi wangu kwa sasa.
Hao airtel nimeunga kifurushi cha wiki nimetumia siku 2 tu na hakuna net tena.
Ili kufidia, nimemalizia dakika zao kwanza, halafu nimekopa cha wiki kingine, kisha nimemaliza dakika halafu nimehamia voda na virago vyangu mazima manina zao hawa wanajiita babu lao hawana hata mwakilishi kwenye social network muhimu kama hizi.